Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
naona shangazi ka-specialize kuandika habari za kidaku, si unaona hata hii story haina tofauti na zile alizozoea kuziandika?Yaani magazeti ya udaku nilisha achana nayo tokea enzi nza udaku...lakini huyu Joyce Joliga ni shangazi yangu mdogo wake na mke wa mjomba wangu...mara ya mwisho kuonana naye alikuwa akifanya kazi Global Publishers kwenye magazeti ya udaku...Sasa nashangaa lini amehamia kwenye gazeti la mwananchi.
naona shangazi ka-specialize kuandika habari za kidaku, si unaona hata hii story haina tofauti na zile alizozoea kuziandika?
point of correction, mimi ni bibi yakoha ha haaa!!! Mjukuu wangu...umenikumbusha ule msemo usemao "jasiri haachi asili na...."
point of correction, mimi ni bibi yako
Shetani na laana vinasingiziwa tu, kama anavyosingiziwa mungu.
Shetani wa mtu ni mtu mwenyewe.
mkuu i know what i was talking...nipo deep upande huo, man was created pure, but spoiled by satan. kuanzia hapo mwanadamu ana free will, kuchagua ubaya au wema lazima ujue kuwa kuna chanzo.
WEMA chanzo chake ni Mungu na UBAYA chanzo chake ni Shetani.
Una ushahidi kwamba shetani yupo? Unajua nini? Upo deep kilometa ngapi kwenye upande huo?
Mana was created pure by whom?
Mwanadamu ana freewill?
Huwezi kusema wema chanzo chake ni mungu na ubaya chanzo chake shetani, kama unaamini mungu kaumba vyote. Kwa sababu inherently mungu kaumba ubaya.
Kama mungu hajaumba ubaya, hata huyo shetani unayesema ndiye chanzo cha ubaya, kaupata wapi ubaya?
nitafute kwa muda wako...hapa tutapotezea watu wengine muda tu
Hapana,
JF ni jumba la mijadala, na ukianza habari ya "nitafute kwa muda wako" utaonekana unakimbia mjadala.
Jibu maswali, ama kubali kiungwana kwamba kilemba cha ukoka cha "nipo deep" ni majigambo yasiyo msingi tu.
Niambie umesoma classic gani ya theolojia kujihakikisha kwamba upo "deep"?
anzisha thread yenye title husika