Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Hi JF members.
Kuna ubaya wowote kama itatokea mtoto wako wa miezi 3-6 ambaye unalala nae atakuona ukifanya mapenzi na mama yake
:A S shade: sidhani kama kuna ubaya katika umri huo😛layball:
Kazi kweli kwelihuyo mtoto lazima ukiubwani awe kicheche
hebu michelle nisaidie hapa, ni umri gani sasa wa mtoto ambao haufai?
Siyo vzuri kiukwel kwanza mtoto anakuwa anajengewa tabia mbaya.
Nami nakubaliana na wewemi nafikiri tangu mwaka mmoja na nusu miwili mtoto asilale na wazazi....😛layball:
Sio tabia mbaya. Inageuka tabia mbaya kufanya mbele ya mtoto.Kwani ni tabia mbaya kufanya mapenzi?
Inawezekana!!huyo mtoto lazima ukiubwani awe kicheche
Siyo vzuri kiukwel kwanza mtoto anakuwa anajengewa tabia mbaya.
Sasa solution ni ipi ukizingatia mtoto ni mdogo wa miezi 3-6 ni ngumu kumlaza peke yake na usiongelee wazazi kuacha kufanya mapenzi