Wewe ungekua hakimu wengi wangefungwa bila hatia.mtu hawezi kuhukumiwa kwa hisia ndugu,uyo mwanasheria yuko sahihi mana ili hukumu iende kwa mhusika lazima kuwe na ushahidi kamili sasa kama hakuna ushahidi wa hakika wakumuonganisha uyo mhusika na ilo tukio si anaweza kukana au anaweza kubambikiwa mtu mwingine asiyehusika.kwaiyo lazima kuwe na ushahidi usioacha shaka ndo maana anasisitiza kuwai polisi na hospital ili specimen zichukuliwe zitakazosibitisha mtuhumiwa.Me nlichoshangaa n huyo
Mwanashefia kusema
Mtu anapobakwa lazma aende polc
Then hospital mda huo huo na asinawe kumaanisha akinawa ushahid umeshapotea
Hii n duluma kwa wanyonge
Hii sheria ibadilishwe
Dhaaa!! Yan n vle tu nlidescoWewe ungekua hakimu wengi wangefungwa bila hatia.mtu hawezi kuhukumiwa kwa hisia ndugu,uyo mwanasheria yuko sahihi mana ili hukumu iende kwa mhusika lazima kuwe na ushahidi kamili sasa kama hakuna ushahidi wa hakika wakumuonganisha uyo mhusika na ilo tukio si anaweza kukana au anaweza kubambikiwa mtu mwingine asiyehusika.kwaiyo lazima kuwe na ushahidi usioacha shaka ndo maana anasisitiza kuwai polisi na hospital ili specimen zichukuliwe zitakazosibitisha mtuhumiwa.
Nimesikitika sana ile taarifa eti hakuna ushahidi na mtoto ana madhara sehemu zake nyeti jamaniDhaaa!! Yan n vle tu nlidesco
Masomo spendag kuona
Mnyonge akinyanyaswa walaa
Na n kweli ngekua hakimu
Watu wasingeomba kufkishwa
Kweny mahakama yang
Unaona hapo angekua n mtt wa tajir
Amefanyiwa hvo hapo mtuhumiwa
Kifungo cha maisha n tyar
Alishakipata bla hata mjadala
Maana pesa inaongeaa
Sikiliza ndugu..hatusemi hapa ili kumuona MTU au MTU afungwe asiye na hatia.Wewe ungekua hakimu wengi wangefungwa bila hatia.mtu hawezi kuhukumiwa kwa hisia ndugu,uyo mwanasheria yuko sahihi mana ili hukumu iende kwa mhusika lazima kuwe na ushahidi kamili sasa kama hakuna ushahidi wa hakika wakumuonganisha uyo mhusika na ilo tukio si anaweza kukana au anaweza kubambikiwa mtu mwingine asiyehusika.kwaiyo lazima kuwe na ushahidi usioacha shaka ndo maana anasisitiza kuwai polisi na hospital ili specimen zichukuliwe zitakazosibitisha mtuhumiwa.
Hatukatai ushahidi ni muhimu lakini ikitokea kwa mtoto ndiyo umegundua wiki imepita tunafanyaje sasa ndiyo hakuna kesi..no no no haiwezekani bwana huo ni uonevuMe nlichoshangaa n huyo
Mwanashefia kusema
Mtu anapobakwa lazma aende polc
Then hospital mda huo huo na asinawe kumaanisha akinawa ushahid umeshapotea
Hii n duluma kwa wanyonge
Hii sheria ibadilishwe
Sema nae alikaa sana week??Hatukatai ushahidi ni muhimu lakini ikitokea kwa mtoto ndiyo umegundua wiki imepita tunafanyaje sasa ndiyo hakuna kesi..no no no haiwezekani bwana huo ni uonevu
Hakujua huyo mama alikuwa anaona uchafu tu kila akimuogesha ndipo alipoona hali tete akaenda Hosp baada ya kuona uchafu hauishi.na mtoto ana maumivu hata kutembea ni shida shida.Sema nae alikaa sana week??
Cjui anamoyo wa chuma
Kabisa mkuu mnyonge kupata hakiHakujua huyo mama alikuwa anaona uchafu tu kila akimuogesha ndipo alipoona hali tete akaenda Hosp baada ya kuona uchafu hauishi.na mtoto ana maumivu hata kutembea ni shida shida.
Halafu Mwanasheria sijui polisi sijui ndiyo hao wapepelezi wana sema hakuna ushahidi wa kufungwa kesi mie hapo nachanganyikiwa kabisa na mtoto baada ya kuulizwa nani kufanya hivi anasema ni mjomba Fulani
Anyway sijui bwana nchi zetu masikini hizi kupata haki ni kazi sana
Umeongea pumba pointlessDhaaa!! Yan n vle tu nlidesco
Masomo spendag kuona
Mnyonge akinyanyaswa walaa
Na n kweli ngekua hakimu
Watu wasingeomba kufkishwa
Kweny mahakama yang
Unaona hapo angekua n mtt wa tajir
Amefanyiwa hvo hapo mtuhumiwa
Kifungo cha maisha n tyar
Alishakipata bla hata mjadala
Maana pesa inaongeaa
Kuliko zako ulizozaliwa nazo??Umeongea pumba pointless