Mtoto akilawitiwa halafu unaambiwa umechelewa kuripoti hakuna ushahidi,Je ni haki kisheria??

Mtoto akilawitiwa halafu unaambiwa umechelewa kuripoti hakuna ushahidi,Je ni haki kisheria??

Angekuwa mwanangu sheria mkononi ingechukua mkondo wake....
 
Sikiliza ndugu..hatusemi hapa ili kumuona MTU au MTU afungwe asiye na hatia.

Nilichouliza ni kuwa tukio limetokea na mtoto amepata madhara tena mtoto mdogo wa kuogeshwa maji na mama yake.

Je kiupelelezi ndiyo tumefika mwisho kisa tukio toka lifanyike mama amempeleka mtoto polisi na hospital baada ya wiki moja??

Kwahiyo Upelelezi wetu hauna mbinu zingine zaidi ya kuangalia mbegu za kiume? Ndiyo una maanisha hivyo Au??

Hebu tupanue mawazo yetu zaidi nje ya box!!
Okey wewe unadhani nini kifanyike,au huo upepelezi ufanyike vip?
 
Back
Top Bottom