mtoto akimeza hela nini kifanyike?

mtoto akimeza hela nini kifanyike?

idete

Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
61
Reaction score
15
naomba msaada juu ya mtoto akimeza hela(100/=),kwa kumpatia huduma ya kwanza nini kifanyike? naombeni msaada juu hilo.
 
anayejua aeleze hapa, mimi pia napenda kujua ili siku ikitokea popote pale hata kwa mtoto wa jirani nielewe wat to do.
 
Kama amemeza kabisa nadhani operesheni tu.
 
The Boss unauwakika? nimeuliza sabanu yamenikuta muda si mrefu.
 
Mpe vyakula laini kama uji vile,then uwe unakagua kinyesi kujiridhisha kama kimetoka pia nenda hospital kwa msaada
 
Kimbiza hospital!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom