Mtoto akiwa tumboni, hugeuka baada ya nda gani?

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Habarini wataalam.

Kuna mama mmoja anaujauzito wa miezi 8, anatarajia kujifungua dec 2011, tarehe za katikati. Tarehe 25 ya mwezi november alienda clinic kupima maendeleo ya mimba, alipopima, nesi aliyekuwepo alishangaa kwa nini mtot hajajigeuza kichwa kuelekea chini.

Mama huyo alikuwa kilalamika maumivu ya tumbo na mbavuni, na alipoulizia nesi huyo alimwambia mtoto kakaa upande.

Waliosikia walishangaa na kushituka, lakini wengine wakampa moyo wakamwambia NESI HUYO HUWA HANA MAJIBU MAZURI. Kwani pmoja na nesi kusema hayo, bado mama huyo ana uwezo wa kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi kufuata huduma ya clinic. Anatembea wastani wa kilometa 5 hivyo kwenda na kurudi km 10

Watu walimwambia kama mtoto akikaa vibaya, huwezi kutembea umbali mrefu namana hiyo.

naombeni ushauri ili nimshauri cha kufanya
 
msaada wa ushauri wako, unaweza kuokoa maisha. shaurini tafadhali
 
duh. Wanawake ni wazazi wetu lakini wanayopitia ni magumu mno. halafu pia ni watamu, hatuwezi kujitenga nao
 
anaweza kugeuka hata akiwa na miezi 9 km nafasi ipo,tatizo muda unavozidi kwenda anazidi kukua na nafasi ya kugeuka inakua ndogo,inatokea wengine wanageuka hadi wiki ya 37,38.inategemea kwa kweli ila asikate tamaa
 
nakushukuru sana mkuu lasix, tumefika kwa daktari mwingine kasema yuko vizuri lakini ni mkubwa sana
 
Me nataka kujua kikawaida hasaa mtoto anageuka akiwa na umri wa wiki au miezi mingapi tumboni mwa mama yake?
 
tabibu hawapo ila dunia inamegeka upande mmoja tu wapo busy na mada zingine
 
mh!ni ya kitambo hii mada!!mbona hawachangii?[HASHTAG]#muhimu[/HASHTAG]
 
anaweza kugeuka hata akiwa na miezi 9 km nafasi ipo,tatizo muda unavozidi kwenda anazidi kukua na nafasi ya kugeuka inakua ndogo,inatokea wengine wanageuka hadi wiki ya 37,38.inategemea kwa kweli ila asikate tamaa
jamni mimi pia naogopa oparesheni na ultra sound inaonyesha mtoto anaweek 29 na ajageuka dk ananiambia nijiandae kwa kupasuliwa ila comment yako imenitia moyo jaman ila mimi shida ni mfupi sna jaman
 
Nipo mkuu, Ulisikia nimekufa?
Pole usijali nami nliambiwa mtoto hajageuka mpk wiki ya 29 dk akanishauri nisali kwa dini yangu mtoto ageuke lasivyo op itanihusu ila aligeuka nkazaa mwenyewe vizuri.naaminj nawe mda bado.
jamni mimi pia naogopa oparesheni na ultra sound inaonyesha mtoto anaweek 29 na ajageuka dk ananiambia nijiandae kwa kupasuliwa ila comment yako imenitia moyo jaman ila mimi shida ni mfupi sna jaman
 
muda bado usihofu atageuka hata km imebaki wiki
 
Mtoto wako anaweza kugeuka kutoka kichwa kuwa upande wa juu na akageuka -hadi nafasi ya vichwa kuwa chini ya kinena (heads-up to a heads-down position) na kurejea tena kama alivyokuwa kwa mara nyingine mwanzoni mwa ujauzito. Watoto wengi hugeuka na kukaa katika nafasi ya kichwa (yaani kutanguliza kichwa) mwanzoni kabisa katika miezi mitatu ya mwisho ya ujauzito (beginning of the third trimester). Kikawaida mtoto hugeuka na kutanguliza kichwa chini mimba inapofikisha wiki 35 mpaka wiki 36. Ikiwa mtoto wako bado hajageuka na yuko kwenye nafasi ya (breech) yaani katanguliza makalio badala ya kichwa, daktari wako anaweza kupendekeza chaguzi za kumuhimiza mtoto wako kuzunguka, na ikiwa hatogeuka basi mapendekezo ya upasuaji hufanyika (schedule a C-section)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…