ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Habarini wataalam.
Kuna mama mmoja anaujauzito wa miezi 8, anatarajia kujifungua dec 2011, tarehe za katikati. Tarehe 25 ya mwezi november alienda clinic kupima maendeleo ya mimba, alipopima, nesi aliyekuwepo alishangaa kwa nini mtot hajajigeuza kichwa kuelekea chini.
Mama huyo alikuwa kilalamika maumivu ya tumbo na mbavuni, na alipoulizia nesi huyo alimwambia mtoto kakaa upande.
Waliosikia walishangaa na kushituka, lakini wengine wakampa moyo wakamwambia NESI HUYO HUWA HANA MAJIBU MAZURI. Kwani pmoja na nesi kusema hayo, bado mama huyo ana uwezo wa kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi kufuata huduma ya clinic. Anatembea wastani wa kilometa 5 hivyo kwenda na kurudi km 10
Watu walimwambia kama mtoto akikaa vibaya, huwezi kutembea umbali mrefu namana hiyo.
naombeni ushauri ili nimshauri cha kufanya