Mtoto aliwahi kuniletea mali, nikashindwa kujiongeza

Mtoto aliwahi kuniletea mali, nikashindwa kujiongeza

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Hivi kwa nini mwanamke wengi huwa hawawezi kuomba penzi. Yaani hawawezi kusema leo nataka unifanye?!

Jambo hili liliwahi kunigharimu ndugu yenu miaka hiyo nikiwa mshamba-mshamba kwenye tasnia.

Mtoto nilianza kumpenda sana akiwa mwanafunzi wangu wa tuition nikiwa form six. Nikamtongoza miaka yote nikiwa chuo mpaka namaliza chuo sikuambulia kitu. Tatizo kubwa ilikuwa kuna kaundugu kwa mbali kwa hiyo alijua nitaishia kumchezea tu. Kumbuka alikuwa mlokole mwenye bikra yake.

Wakati nimemaliza chuo yeye alianza masomo SUA. Kipindi hicho nilishakata tamaa ikabaki ukaribu wa dada na kaka tu. Wakati wa likizo mtoto akaniambia nataka kuja Dar kutembea siku moja tu. Hapo hakuwahi kufika Dar anaiona kwenye vyombo vya habari tu. Akaniambia nimtafutie gesti karibu na stend hakai sana.

Basi mwenenu nikajichanga nikachukua lodge pale nyuma ya Ubungo Plaza na nikampiga misosi kibao. Saa 4 usiku nikamrudisha chumbani tukakaa pale stori stori mpaka saa 5. Nikamuaga nikarudi kwetu Kimara kulala. Saa 11 nikampigia simu awahi stend akasepa kwenda mkoani.

Baada ya miaka kadhaa kupita nikakutana na yule dogo akiwa ameolewa. Nikamtania kwamba shemeji atakuwa anafaidi sana, yaani mimi nimekutongoza miaka mitatu hata bao moja tu hukutaka kunipa.

Majibu aliyonipa yemeendelea kuniuma mpaka leo. Huwa natamani ku undo. Dogo akaniambia wewe ni mpumbavu yaani nilikuletea mali mpaka Dar ukaniacha gesti nimelala peke yangu wewe ukaenda kulala kwenu. Ukashindwa kujiongeza.

Wanawake mnazingua sana. Kwani mkisema mnataka dudu washa mtapungukiwa nini?!
 
Hivi kwa nini mwanamke wengi huwa hawawezi kuomba penzi. Yaani hawawezi kusema leo nataka unifanye?!

Jambo hili liliwahi kunigharimu ndugu yenu miaka hiyo nikiwa mshamba-mshamba kwenye tasnia...
Daaah 🚶🚶🚶🚶🚶😎
 
Wa kwangu akitaka huwa anasema nambie. Tupo zetu tumepunzika au movie ghafla unasikia nambie. Ukikwepa ukapiga story nyingine bado unasikia nambie nyingine. Akizidi sana utasikia anakuuliza 'nini?' na hapo hujasema kitu
 
The same case, alitoka Moro kuja Mwanza kunitembelea nikiwa chuo.

Nikapiga nae story mwisho nikampeleka kwa dada yng hostel ambaye tulitoka mkoa mmoja.

3 yrs in relation without sex.!
 
Back
Top Bottom