- Thread starter
- #21
hivi watoto hushitakiwa pia!!!
Ndio under the Law of Child Act, lakini mfumo wako si kama unaotumika kwa watu waizima hata adhabu yake ni tofauti kabisa sana sana viboko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi watoto hushitakiwa pia!!!
Kweli inashangaza sana. Ila ni kwa sababu huwa hawana muda wa kujipanga, ie wanalipuka tu. We have long way to go to justice!Issue kama hizi zinahitaji busara sana kudeal nazo. Sasa hawa watawala wetu hamna kitu kabisa aisee!
Yaani aliyekojolea msaafu anapandishwa kizimbani; wanaochoma magari, makanisa na mali wanadunda mitaani?
kulikoni kila siku unakojolewa?Msichanganye issue, kuna mtoto mmoja wa Pemba alikojolea Msaafu siku mbili kabla ya Mbagala... Kesi yake ipo Mahakamani huko Pemba!
Msichanganye issue, kuna mtoto mmoja wa Pemba alikojolea Msaafu siku mbili kabla ya Mbagala... Kesi yake ipo Mahakamani huko Pemba!
Kuna mtu hapa amesema ana miaka 14 tu. Na zaidi alikuwa anafanya experiment! Ndo kusema kundi zima waliokuwa wanabishana lazima wakatoe maelezo yao mbele ya hakimu!Nataka kujua umri wa mtoto kwanza ndo naweza kutoa maoni yaliyonyooka
Sasa ulitaka mumpige mawe,fafanua vizuri pleasemimi ni muislamu....kufikishwa mahakamani mtoto huyu si sahihi!
Nami nilikuwa nafatakari kitu kama hichohicho! Kama waislamu wangekaa kimya, mimi na wengine wengi tu tusingefahamu hiyo habari. Na pia kama ni kweli jambo alilofanya lingempatia madhara kulikuwa hakuna haja ya watu kuanza kushambulia makanisa. Reaction ya hawa wachache wenye jazba inasababisha watu baki wadhanie kwamba quran haina nguvu.kwanini tusiache Qur'an imuadhibu naturally huyu mtoto?
mtoto huyu alitaka kumaliza ubishi kwamba huwezi kupata kichaa kwa kukojolea msahafu.
alitaka kuprove the null hypothesis...sioni kosa lake kwa sababu majibu tumeyapata.
Mimi si mjuzi wa sheria za Tanzania ila nafikiria kuwa katika sheria zake anayefanya jambo huku akiwa provocated anaweza kuachiwa huru...jaribu kuulizia vizuri wanaojuwa sheria za Tanzania.Paulss said:Yaani aliyekojolea msaafu anapandishwa kizimbani; wanaochoma magari, makanisa na mali wanadunda mitaani?
kwanini tusiache Qur'an imuadhibu naturally huyu mtoto?
Nashukuru sana kwa hii taarifa. Nilikuwa najiuliza sana huyo aliyenajisi kuran huko ZNZ ni dini gani? Wametaka kumuua? Mbona hii habari haukusikika sana, hata hapa JF haikuvuma. Kwa nn ya Mbagala imevuma sana? Nadhani haya yaliyotokea mbagala ni viashiria kwamba sasa mpasuko wa kiimani ni mkubwa sana. Na sababu ni nyepesi tu: Taifa limekosa viongozi wenye sifa, wenye uwezo wa kujenga Umoja wa kitaifa.Huyo wa Pemba ni kijana wa miaka 23 muislam na amepelekwa mahakamani,
Source Zanzibar Leo ya Alhamisi
Kuna misikiti yoyote ilichomwa kutokana na tukio hilo ?
Muislam akikojolea Msahafu mtu mzima anapelekwa mahakamani, mtoto yuko polisi vurugu zinafanyika wapewe mtoto wajichukulie sheria mkononi
Tuvumilianeni jamani
Gazeti la majira limeripoti ya kuwa mtoto aliyekojolea msaafu atafikishwa mahakamani ili sheria za nchi zifutwe.
Maoni yangu ni kweli kitendo cha mtoto huyo kilikuwa cha kitoto na cha kijinga. Ila lilofanywa na kundi la waislamu kuandamana dhidi ya kitendo hicho cha mtoto, na kuharibu malia za watu pamoja na makanisa ni zaidi ya utoto, ujinga na na pia uwendawazimu.
Hivyo wakati yule mtoto akipandishwa kortini polisi wanapaswa kuwapandisha mahakamani watu waliohusika na wendawazimu huo pia.
Polisi pia inapaswa kuonesha wale waliochoma makanisa Zanzibari wapo wapi?
Vinginevyo ujinga na wendawazimu huu utatupeleka pabaya.