Msabaha lk
Member
- Apr 21, 2012
- 84
- 21
Nataka kujua umri wa mtoto kwanza ndo naweza kutoa maoni yaliyonyooka
Mkuu tunajijengea chuki sisi wenyewe. Sijui kwa nini watu wanaacha upendo wa kuthaminiana wa kawaida kabisa ambapo mtu anakuwa nao hata bila kuupata kanisani au misikitini!! Jibu ni moja tumeacha mila na desturi zetu nakuanza kufuata za watu wengine bila kujua misingi yake.
Mimi kama mkristo, sidhani kama ni dhambi nikikukaribisha kanisani nikakufundisha yale ninayoamini bila kukushurutisha baadae tukaenda msikitini nikakusikiliza ukiniambia yale unayoyaamini bila kunishurutisha. In a long run utajikuta kila mmoja anaishi kwa amani na upendo.
Kuna baadhi ya wachungaji ukiwasikiliza mahubiri yao, unaweza kurusha bomu liwapoteze usoni mwa dunia; hivyo hivyo kuna baadhi ya maimamu ukisikiliza mahubiri yao ni hatari. Na kuna baadhi ya wachungaji ukiwasikiliza unapenda kuendelea kuwasikiliza na unaweza kutamani ujiunge nao, hivyo hivyo kuna baadhi ya masheikh ukiwasikiliza mafundisho yao unasema why am I a christian?.
Lakini yote hayo yapo katika jamii zetu na pengine watu wanayafahamu ila kutokana na kuacha mila na desturi zetu tunayaapuuza.
nchi ya kiislam tayari..ndio mkome kuchagua waislamu wawaongoze kwani hawatumii akili wanatumia masaburi kufikiria
nchi ya kiislam tayari..ndio mkome kuchagua waislamu wawaongoze kwani hawatumii akili wanatumia masaburi kufikiria
Aliyemshawishi nani, zaidi ya mtoto mwenzie aliyebishana naye, kuhusu kukojolea juzuu na kugeuka nyoka au chizi? naye kwa akili na utoto na kutaka kujaribu mambo, akaamua kum-prove mwenzie wrong. Kimsingi ameshinda ubishi, maana hajageuka nyoka wala mjusi.Tz raha jamani...wakubwa hawaguswi...aliemshawishi kimya....
Issue kama hizi zinahitaji busara sana kudeal nazo. Sasa hawa watawala wetu hamna kitu kabisa aisee!
Yaani aliyekojolea msaafu anapandishwa kizimbani; wanaochoma magari, makanisa na mali wanadunda mitaani?
mimi ni muislamu....kufikishwa mahakamani mtoto huyu si sahihi!
Iko sheria ambayo inataka kuheshimu vitabu vya dini zote, na ndio itatumika hapa.Huyu alidharau kitabu cha dini nyingine ndio maana ikaleta hiyo tafrani.
Gazeti la majira limeripoti ya kuwa mtoto aliyekojolea msaafu atafikishwa mahakamani ili sheria za nchi zifutwe.
Maoni yangu ni kweli kitendo cha mtoto huyo kilikuwa cha kitoto na cha kijinga. Ila lilofanywa na kundi la waislamu kuandamana dhidi ya kitendo hicho cha mtoto, na kuharibu malia za watu pamoja na makanisa ni zaidi ya utoto, ujinga na na pia uwendawazimu.
Hivyo wakati yule mtoto akipandishwa kortini polisi wanapaswa kuwapandisha mahakamani watu waliohusika na wendawazimu huo pia.
Polisi pia inapaswa kuonesha wale waliochoma makanisa Zanzibari wapo wapi?
Vinginevyo ujinga na wendawazimu huu utatupeleka pabaya.
Huu ni mtihani kwa Kikwete. Ni lazima atoe tamko la wazi kwa umma kulaani kitendo kilichofanywa na waislamu na kutofanya hivyo itaonyesha wazi nchi inatawaliwa kiislamu. Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam juzi alitoa maelezo mazuri ni vizuri pia Kikwete akajifunza kutoka kwake.