kumshitak ni kumuonea kwsbb pyschologically tayari ameshaathirika hasa kwa kilichotokea ikiwa ni pamoja na kutaka kuuawa, ni heri wangemuacha tu au km anashtakiwa basi ashtakiwe na mwenye kitabu kwsbb mi naona wote wana makosa,huyo mwenye kitabu km alijua kukojolea ni dhambi kwnn alikitoa kikojolewe?
Mimi si mjuzi wa sheria za Tanzania ila nafikiria kuwa katika sheria zake anayefanya jambo huku akiwa provocated anaweza kuachiwa huru...jaribu kuulizia vizuri wanaojuwa sheria za Tanzania.
Kwani ni sheria gani ya Tanzania inayokataza kukojolea au kaharibu msahafu?mimi ni muislamu....kufikishwa mahakamani mtoto huyu si sahihi!
anashtakiwa kwa sheria ipi?
Gazeti la majira limeripoti ya kuwa mtoto aliyekojolea msaafu atafikishwa mahakamani ili sheria za nchi zifutwe.
Maoni yangu ni kweli kitendo cha mtoto huyo kilikuwa cha kitoto na cha kijinga. Ila lilofanywa na kundi la waislamu kuandamana dhidi ya kitendo hicho cha mtoto, na kuharibu malia za watu pamoja na makanisa ni zaidi ya utoto, ujinga na na pia uwendawazimu.
Hivyo wakati yule mtoto akipandishwa kortini polisi wanapaswa kuwapandisha mahakamani watu waliohusika na wendawazimu huo pia.
Polisi pia inapaswa kuonesha wale waliochoma makanisa Zanzibari wapo wapi?
Vinginevyo ujinga na wendawazimu huu utatupeleka pabaya.
mimi ni muislamu....kufikishwa mahakamani mtoto huyu si sahihi!
Gazeti la majira limeripoti ya kuwa mtoto aliyekojolea msaafu atafikishwa mahakamani ili sheria za nchi zifutwe.
Maoni yangu ni kweli kitendo cha mtoto huyo kilikuwa cha kitoto na cha kijinga. Ila lilofanywa na kundi la waislamu kuandamana dhidi ya kitendo hicho cha mtoto, na kuharibu malia za watu pamoja na makanisa ni zaidi ya utoto, ujinga na na pia uwendawazimu.
Hivyo wakati yule mtoto akipandishwa kortini polisi wanapaswa kuwapandisha mahakamani watu waliohusika na wendawazimu huo pia.
Polisi pia inapaswa kuonesha wale waliochoma makanisa Zanzibari wapo wapi?
Vinginevyo ujinga na wendawazimu huu utatupeleka pabaya.
Hebu tufahamishe huko Pemba yalichomwa makanisa au misikiti mingapi kufuatia tendo hilo la kudhalirisha kitabu!Msichanganye issue, kuna mtoto mmoja wa Pemba alikojolea Msaafu siku mbili kabla ya
Mbagala... Kesi yake ipo Mahakamani huko Pemba!
Gazeti la majira limeripoti ya kuwa mtoto aliyekojolea msaafu atafikishwa mahakamani ili sheria za nchi zifutwe.
Maoni yangu ni kweli kitendo cha mtoto huyo kilikuwa cha kitoto na cha kijinga. Ila lilofanywa na kundi la waislamu kuandamana dhidi ya kitendo hicho cha mtoto, na kuharibu malia za watu pamoja na makanisa ni zaidi ya utoto, ujinga na na pia uwendawazimu.
Hivyo wakati yule mtoto akipandishwa kortini polisi wanapaswa kuwapandisha mahakamani watu waliohusika na wendawazimu huo pia.
Polisi pia inapaswa kuonesha wale waliochoma makanisa Zanzibari wapo wapi?
Vinginevyo ujinga na wendawazimu huu utatupeleka pabaya.
Gazeti la majira limeripoti ya kuwa mtoto aliyekojolea msaafu atafikishwa mahakamani ili sheria za nchi zifutwe.
Maoni yangu ni kweli kitendo cha mtoto huyo kilikuwa cha kitoto na cha kijinga. Ila lilofanywa na kundi la waislamu kuandamana dhidi ya kitendo hicho cha mtoto, na kuharibu malia za watu pamoja na makanisa ni zaidi ya utoto, ujinga na na pia uwendawazimu.
Hivyo wakati yule mtoto akipandishwa kortini polisi wanapaswa kuwapandisha mahakamani watu waliohusika na wendawazimu huo pia.
Polisi pia inapaswa kuonesha wale waliochoma makanisa Zanzibari wapo wapi?
Vinginevyo ujinga na wendawazimu huu utatupeleka pabaya.
Mimi nadhani huyo mwenzie alieanzisha huo ubishi kwamba ukikojolea msaafu utakuwa chizi naye afikishwe mahakamani, yeye ndie hasa chanzo, maana nadhani alimuambia kama unabisha kojolea uone kama huwi chizi! Kwanza huyo aliekojolea huo msaafu aliupata wapi kama sio kuletewa na huyo kijana alieyekuwa anasema kojolea uone?
Sasa sijui hapa nani amekuwa chizi, kati ya aliekojolea msaafu na waliokojolewa msaafu! Maana kuchoma kanisa ambalo halikukojolea msaafu ndio uchizi namba moja kabisa!
nchi ya kiislam tayari..ndio mkome kuchagua waislamu wawaongoze kwani hawatumii akili wanatumia masaburi kufikiria
"Sharia" ya kukojoa kwenye msahafu ya Saudi Arabia ya mwaka 1712. Akipatikana na hatia, adhabu yake ni kukatwa kichwaanashtakiwa kwa sheria ipi?