Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

Mauaji ya mwandishi Mwangosi rais hajatoa kauli hadi leo!! Lakini kisa cha mtoto mdogo kukojoa tayari keshasema hilo ni kosa kubwa! Na waliojichukulia sheria mkononi kuchoma makanisa je hao haoni kosa lao!!

honolulu ur point is clear,mkuu wa nchi kuzungumzia huyo mtoto kafanya kosa ni udhaifu mkubwa maana huwezi ukilinganisha hilo na walichofanya hao waislamu.kutokutoa kauli juu ya uharibifu wa makanisa unaojirudia kwake ni sawa!Ipo siku inakuja wakristo tutasema imetosha na tutaanza kujilinda.
 
Ni upuuzi ulioenda shule kumpereka mtoto huyo mahakamani. nyuma ya tendo la kukojorea hicho kitabu kuna mafundisho yasiyo sahihi kwa mtoto aliyemshawishi mwenzake maana yawezana yeye aliambiwa na walimu au wazazi wake kuwa ukikijorea kitabu hiki unakuwa mjusi. Let us think twice.
 
mimi ni muislamu....kufikishwa mahakamani mtoto huyu si sahihi!

Pia na mimi ni muislamu msomi wa elimu dunia na elimu dini je ni sahihi kuchoma makanisa mto kwa ajili ya mtoto mmoja asiye na akili wala uelewa kwa nini tusitumie busara kumuelewesha ili aelewe misingi ya dini ya kweli. Hivi kwa kitendo cha kumchoma moto makanisa kwa nini tusiwape watu iman kuwa dini yetu ni ya kigaidi isiyoheshimu katiba ya nchi wala uhuru wa kuabudu. TUBADILIKE.
 

aisee umejibu vyema mkuu, maana huyo mdau ameweka mambo yasiyoeleweka, hekima hakuna kabisa...sijui memory yake imekalia wapi, hata hao waliochomewa makanisa, hawatakuwa na tym ya kijinga kuandamana, wao watamwomba Yesu aingilie kati awape hekima watafute funds waweze kuinua majengo mapya na kuwasamehe hao wasiojua walitendalo (usipojua unalolitenda it also means akili yako ni finyu so unastahili "huruma")...😛oa
 
Huyu mungu wa visasi, majambia na kutovumiliana ni mungu tofauti na tunayemjua sisi. They erupt and go on fire every time you touch Mtume and Msahafu. They have zero tolerance and love to them is actually the opposite of love. The Mighty God we worship is the God of tolerance love and great compassion. He teaches to us to be likewise. Mpende jirani yako kama nafsi yako, hii ni pamoja na kumsamehe anapokosea. Usilipe ovu kwa ovu. Huyo ndio Mungu tunayemwabudu sisi. Make your craps about Jesus we dont care because we know what be worship.
 
mie nadhani mtoto huyo alikuwa anaprove hypothesis ya aliyempa koroani hivyo wataalam liangalien kwa makini tunaua wadadisi
 

Cha ajabu eti jk ana balansi ishu hii! Eti kukojolea kuran ni kosa kuchoma makanisa ni kosa! Hata kova kamzidi kuongea kwa akili! Ee Mungu tusamehe dhambi zetu hadi ukatupa raisi asie na upeo kiasi hiki!
 
je atahukumiwa kwa kesi gani wakitoka huko waikamate redio Imaani. hapo mtatenda haki vinginevyo
 
We uliona wapi Mungu akakupiga kipigo pale pale....Afu Mungu anapima pia kama ataona kweli yule dogo akili zake za kitoto hawezi kumpa adhabu, lakini wewe unaye jidai hapa nenda kafanye vile afu utakuja nipa jibu sio lazima pale pale hata baada ya miaka flani kama hujatokewa na balaa mpaa ukaona dunia haikaliki....Kawaulize wale wa Danish walipatikana na nini :biggrin:
 
Walikutana madaktari wa China,Ujerumani naTz.kuelezea mafanikio walioyafikia ktk nchi zao.Dr wa ujerumani akasema kwe2 alizaliwa mtoto hana miguu 2kamwekea ya bandia sasa ni mwanariadha na ana medali 3 za dhahabu,Dr. wa china akasema sisi kwe2 alizaliwa mtoto hana mikono 2kamwekea ya bandia sasa ni mcheza kareti maarufu sana duniani,Dr.wa Tz akacheka kwa dharau akasema hamja2fikia sisi kwe2 alizaliwa mtot bagamoyo hana kichwa 2kamwekea boga sasa ni Rais wetu !! Huyu ndiye raisi anayetetea ufedhuri badala ya kukemea uharibifu unaofanywa dhidi ya wasio na kosa. Huyo alimpe hio kitabu aikojolee alikuwa na maana gani?? Kwani aliufuata msikitini, au nyumbani kwakwe! C alipa kwa hiari " Biblia inasema zijaribuni roho, na kwakua alimwambia kuwa utadhurika. Huyu akaamua kuijaribu roho hio, kosa lake ni nn?? Mara ngapi kwenye migadhara hasa huku mbagala wanakotupigia kelele na kitusi biblia takatifu! Raisi halioni hili?? Na yy afikishwe mahakamani na sheria ichukue mkondo wake. Nyie tutafuteni tu ipo siku mtatupata! Someni nyakati, mmesikia ya Mwanza!!!
 
Katika hali ya kawaida mimi ni mtu ninaependa wakati wote kumshukuru Mungu kwa vile nilivyo na nilivyonavyo; elimu,akili, maumbile n.k na sikumbuki kama nimewahi mwambia Mungu ahsante kwa kunifanya MFUASI WA KRISTO.
Tukio la Mbagala na walichofanya Waislam plus mwitikio wa Wakristo wote (hasa wale walioungana jana kuomba Mungu awasamehe) vilinifnya kupga goti KWA FAHARI na kusema ahsante MUNGU KWA KUWA MIMI NI MKRISTO
 
mtoto huyu alitaka kumaliza ubishi kwamba huwezi kupata kichaa kwa kukojolea msahafu.

alitaka kuprove the null hypothesis...sioni kosa lake kwa sababu majibu tumeyapata.

Huyu kijana anaonekana ataja kuwa scientist mkubwa. Anajua shuleni ni mahali pa kujaribu hypothesis zote ili kupata theory. Sasa kosa lake nini hapa. Kaambiwa ukikojolea kurani haya na haya yanatokea. Hakuta tu myths bali akamwambia mwenzake eu ilete hiyo Korani ruone, Nadhani na mwenzake aliye leta hiyo Korani alikuwa na lengo hilo hilo kuthibitisha huo ukweli aliosimuliwa msikitini. Kaleta Korani toka nyumbani wakaenda chooni mwenzake kavua kakojoa hakuna kilichotokea. Hata mkimfunga ukweli ameshaujua. Huwezi kuwa mnyama. Ni maneno ya watu wa kale yaliyotumiwa ki akili ili watu waheshimu msahafu. Full stop.
 
wakiristu ndio waanzilishi wa matatizo haya. mtake msitake. Tabia ya kumshambulia mkuu wa nchi kwa masuala ya udini

ndio yatawafikisha pabaya. huu wote ni uchokozi, alikojolea kwa nini! makanisa zanzibar kuchomwa ni kwanini, mnaacha watoto wenu wa kike wanatembea uchi mnataka na waislam wawaige? nyerere aliwaambiaje? na nawahakikishia kwamba kama mtaendekeza uchokozi wenu, hapakaliki hapa. Na madai kwamba waislam hawajasoma m-baki na mawazo hayo ndio mtajua. Na kama hamjui wale wabishi sheria zote mnazosoma huko school of law, na LLB NA MA LLM zote ndizo alizozikojolea huyo mtoto, mnayajua hayo, etu waislam wana inferior, subirini muone hiyo in
 

kwa maana hiyo mansakankanmusa hivi ndivyo koran inawaelekeza kufanya? I mean huu ndio msingi wa Uislam,,,,VISASI
Just asking to know
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…