Mkuu wangu
Pure Number nakuhakikishia hata uinyee na kuichambia BIBILIA hakuna Mkristo ataandamana wala kutoa tamko maana kazi hiyo si ya mwanadamu bali Mungu mwenyewe,
usihukumu maana utahukumiwa
Wewe nenda dukani kanunue BIBILIA na uichane mbele ya muuzaji ununue nyingi chana tena ataendelea kukuuzi tu maana hakuna mwenye mamlaka ya kukuhukumu zaidi ya mwenye BIBILIA sana sana atakuonea huruma na kukukumbuka wenye sala yake Mungu akusaidie
BIBILIA ni kitabu kama kitabu cha darasani au cha mapenzi au kitabu chochote kile,ni material imetengenezwa na binadamu kinacho matter ni neno la Mungu linaitwa BIBILIA na si Kitabu kilichoandikwa BIBILIA, na ndio ndio maana NENO LA BIBILIA hata ukichoma vitabu litabaki milele
Unajua ni makanisa mangapi yamechomwa moto Zanzibar? umewahi kusikia vurugu zozote toka kwa wakristo?
mmejaza video youtube mnaukashfu ukristo kwa title za waimba injili, umewahi kusikia wakristo wanacomplain na luleta fujo?
Mnakaa na vispika vyenu kutwa Yesu sio Mungu mitaani, umewahi kusikia wakristo wanafanya fujo wanakashfiwa Mungu wao?
Kashfa zote dhidi ya ukristo za mikanda ya video toka kenya na akina Ponda pamoja na radio imani na heri, umewahi kusikia mkristo kaandamana?
Kwa taarifa yako mlichofanya Mbagala kitaripotiwa Polisi tu kutimiza takwa la kisheria na the rest
watu watapiga goti na kumlilia Mungu wao awasamehe na kuwapa hekima maana hamjui mtendalo