Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

anashtakiwa kwa sheria ipi?

Na section 125 of the Penal Code: “Any person who destroys, damages or defiles any place of insult to worship or any object which is held sacred by any class of persons with the intention of thereby insulting the religion of any class of any class persons or with the knowledge that any class of persons is likely to consider such destruction, damage or defilement as an insult to their religion, is guilty of an offence".
 

Thanks Bro, sasa nafahamu kumbe ingewezekana kwenda kumfungulia mashtaka mahakamani kuliko kufanya ule uharibifu ambao haukuwa wa lazima.
 
mtoto aliyemsabisha huyo mtoto mwenzake kukojolea ndio anakosa kubwa zaidi, na yeye asiachwe!
 
mbegu mbaya alizopanda muheshimiwa sana kipindi cha kampeni za 2010...matokeo yake ndo haya....
every important positions katika serikali tumeshikilia but still tuna lalamika tu....
wakati wenzetu wanajenga vyuo, hospitali na mashule...sie tunaendelea kutundika spika kubishana kama yesu ni Mungu au sie Mungu...
 
mimi ni muislamu....kufikishwa mahakamani mtoto huyu si sahihi!

Waisilamu wote wangekuwa na mtazamo kama wako,kufikiri kwa kina na mrengo wa kuvumiliana,dunia ingekuwa mahala pa amani sana. Mungu akuongezee hekima,amin
 
ujue hawa waislam wanatufanya sisi wengine mabwenyenye sana na wanataka wao wawe juu ya sheria?? mbona wao walipo kwenda kuharibu makanisa wamechana biblia?? na viongozi wetu nao hamnazo hawawezi kufanya kazi kwa kuogopa hao mabwege wachache je huyo mtoto anashitakiwa kwa kosa lipi? na sheria ipi?? kama kwa sheria za mahakama za kiislam sawa lakini kama za kiserikali wametokota.walishindwa kufanya fujo wakati mtume wao kazalilishwa?? ingekuwa mwenyezi mungu anatetewa na binadam basi yule dogo palepale alipokojolea angezurika' na wakutoa hukum ya yule dogo ni mwenyezi mungu na sio nyie vifaradoka? je mwajua mwenyezi mungu anamipango gani na huyo dogo hapo baadae aweza kuja kuwa mtume wenu mpyaaa ?/
 
Issue kama hizi zinahitaji busara sana kudeal nazo. Sasa hawa watawala wetu hamna kitu kabisa aisee!

Yaani aliyekojolea msaafu anapandishwa kizimbani; wanaochoma magari, makanisa na mali wanadunda mitaani?

Tena kama bado ijawa sheria, lakini kama mtu yeyote nchini ATAKAYEVUNJA AMANI KIMAKUSUDI lazima huyo mtoto au mtu awajibishwe!! waislamu ndo waliochokozwa na usiseme ya kwamba nina udini kwa kuwatetea waislamu lakini kiuharisia walivunjiwa HESHIMA na njimaana wakaja juu. please, lets think on the other side, huyo mtu aliyeanzisha ugomvi lazima afunguliwe mashtaka for better warning to the society, PLEASE JAMANI, tupendane na tupende kuheshimiana kwani amani ndo itapatikana!!! wale waliofanya hayo makosa tuwasamahe na tukae nawo tuzungumze jamani shida iko wapi!!
 
Mzee kama unawafahamu waliomshawishi wataje waunganishwe kwa katika kesi.
Si kazi kabisa kuwafahamu kama tungekuwa na serikali makini; wangeanzia na aliyeutoa msahaf ukojolewe. Akibanwa kisawa sawa atasema ni nani alimshawishi afanye vile. Pamoja na mimi kuwa muislamu nachukia sana tabia ya watu wanaojifanya kuutetea uislamu kumbe ni wadhalilishaji wakubwa wa imani. Kuna mambo baadhi ya watu wanajifanya kutenda kwa niaba ya uislamu kana kwamba wana mawasiliano ya moja kwa moja na Mungu kiasi cha kumdhalilisha na kuidhalilisha imani yetu. Nalaani kwa nguvu zangu zote uhuni uliofanywa Dar Es Salaam na kule Zanzibar kwa jina la Uislamu. Haya ni matokeo ya kuongozwa na chama na serikali dhaifu na iliyopoteza mwelekeo. Kamwe haiwezi kuchukua maamuzi magumu!
 

hebu ninukuu mambo machache kutoka katika mchango wako:

1. Wakristo kuwaacha watoto wao wa kike kutembea uchi!: hizi takwimu unazipata wapi?. Unadhani madada poa na makaka poa wengi walioko Zanzibar ni wa dhehebu gani?!.

2: kuhusu mtoto kukojolea sheria!:, so what?!, mtoto akikojolea kitanda kinachotumiwa na baba na mamaye kutengeneza watoto wengine inakuwaje?!,

MCHANGO WANGU: KILA WAISLAM (HAPA TANZANIA) WANAPO ANDAMANA KWA KISINGIZIO CHA KUTETEA DINI YAO, HUHARIBU NA KUIBA MALI, KWAHIYO, KUCHUKUA MALI (KUIBA) ISIYO YAKE NI HALALI KWA UISLAM.

JE, Victim (kikojozi) wa mbagala ni dhehebu gani?!, mbona mmechoma mpaka kanisa la wasabato, kwani wasabato ni wakristo?!, hivi ndivyo uelewa wenu uavyowatuma?!, kwanini hapa huyu raisi mliyempigia kampeni msikitini asihusike?. Mpaka nitakapo pata majibu ya hoja zangu, i hold ISLAM kama genge la uharifu.
 


Serikali Dhaifu!!!!! Wawakamate kwanza maimamu wa misikiti waliooongoza chomachoma. Itafika wakati machozi kama waliyolia wale kina mama wa KKKT yakakauka, ikwa ni kulia kwa vitendo vya mikono, ikawa liwalo na liwe! Inabidi sasa Rais autambie kama kweli serikali inao uwezo wa kutoa haki sawa kwa wote, pamoja na kulinda mali zao na maisha yao. Inaelekea sasa Tanzania ianendeshwa kwa sheria za Kiislamu. Muilsamu haguswi na akikosea akipelekwa polisi plosi Sheikh Ponda nao uwezo wa kumtoa. Aibu sana. Where the hell is the Government?
 
Watu wajiepushe na dhihaka za mambo ya kiimani. Watu waliodhani kukojolea msahafu ni jambo dogo, Athari zake sasa si mmeziona zilivyo kubwa!? waislamu pia wanapaswa pia kuwa patience kwenye reaction kwasababu sio watanzania wote ni waislamu.Na wakristo wakemee uchokozi unaofanywa na waumini wao.AMANI KWA WOTE NDIO YA MUHIMU ZAIDI
 
mie mbona nimeiharishia kabisa na hakuna kilichonipata! hebu acheni propaganda, ni kama kumwambia mwanao, ukimuoa mkristu nakupa laana, hiyo laana haimpati ng'o! MAANA MUNGU ANA HEKIMA IPITIYO HEKIMA ZOTE, HUHUKUMU KWA HAKI! huyo mtoto hatapatwa na lolote, PERIOD!
 

hata waislamu wana mashule yao na mahospitali yao tofauti ni uwiano kati yao na wakristo.wakristo wao wako mbali zaidi
.Brother unatakiwa kuufahamu mstari unaotenganisha mambo ya AKHERA na YAKIDUNIA.Waislamu wao wanaamini Uislamu hausiki sana na mambo ambayo wanaamini hawata ulizwa kesho akhera, na wakristo wanapigania mafundisho yote yaliyopo kwenye vitabu vyao na imani zao.Ni rahisi zaidi kubadilisha katiba na sheria za nchi ila ni vigumu sana kuibadilisha Kur ani au Biblia kukidhi mazingira ya nchi.Suala la kupigania tu ni namna gani MCHANGANYIKO HUU wa dini zote utakavyowezesha sote kuishi kwa AMANI kwenye nchi moja.
 
Polisi nao hawana kazi. Ujinga wa watoto wanaupeleka mahakamani!!! Tatizo ni hao wakubwa wenye akili ambao waliamua kufanya huo uhalifu sio mtoto kukojolea huo msaafu. Mbona wakristo tunatukanwa sana na imani yetu hatufanyi fujo hizo!! Sisi tunasema mkimtukana Yesu misikitini na kwenye mihadhara manatangaja jina lake na imeandikwa kila jina litakiri kuwa Yesu ni Bwana, hivyo tunakaa kimya waendelee kumtukuza Yesu Kristo. Mbona hata Biblia zinachanwa na hao watu hatujafanya kitu!! Hao watu wazima wanaojua jema na baya ndiyo wa kupelekwa mahakamini sio mtoto wa miaka 14 ambae bado hajaelewa kweli.
 
Mwalimu wa madrasa nae apandishe kizimbani
 
mimi ni muislamu....kufikishwa mahakamani mtoto huyu si sahihi!
Ulitakaje mkuu achinjwe hadharani kama dini yenu inavyoelekeza?remember mkuu we are operating under secular Government!!
 
Si ngojea kwani wale ma General wa Ki Isreal na WA Turky siwalijifanya kama wewe uliona walicho kipata, we hata kama unafanya joke iko moto inakuja we tulia tu, kwani uliona wapi Mungu akakupiga lana pale pale :biggrin:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…