kwanini tusiache Qur'an imuadhibu naturally huyu mtoto?
sidhani kama itawweza kumwadhibu naturally, kama ilishindwa kumpa kichaa dogo, itaweza lini sasa? hamna kitu mle ndio maana kuran yenyewe inatetewa na wanadamu kwasababu peke yake haina nguvu. ingekuwa na nguvu wasingechoma makanisa kuitetea, haina nguvu wanoana inahitaji msaada ndo maana wanaandamana kuona imeshindwa kufanya kitu.
kwa upande mwingine, dogo atashitakiwa mahakama ya watoto, na hatakiwi kufungwa wala kunyimwa dhamana iwe ya polisi au mahakamani. na wanatakiwa kumpeleka mahakamani wakiwa na uhakika kuwa upelelezi umekamilika kulingana na sheria ya watoto namba 21 ya 2009. pia hatakiwi kufungwa kifungoni, marufuku kufungwa, atapewa conditional discharge au akiwa mtukutu atapelekwa kwenye shule ya mafunzo ya watoto. dogo atadunda tu hapo. mahakama ya watoto ni ileile mahakama ya hakimu mkazi ikijibadilisha jina kuwa juvenile court kutumia jengo lilelile, hatuna majengo tofauti. ni kwamba wakati ule kesi ya mtoto inasikilizwa, mlango unafungwa na inatakiwa isifanyike open court, na inatakiwa iwe in camera/mlango ufungwe na wasiwepo watu wengi kama zilivyo zingine, labda wazazi tu, hakimu na mwendesha mashitaka. hivyo wananchi wasije wakawahi asubuhii siku ya kesi wakitegemea dogo akifika pale wataenda mahakamani kusikiliza kesi inaendeaje.
pia kwa upande wangu, naona ni hatari sana kwa dogo kupelekwa mahakamani, kwasababu nina uhakika wachoma makanisa watakuwa wanamsubiria nje. nadhani ni muhimu usalama wake ukawekwa mbele.
pia yule dogo aliyemshawishi mwenzie akojolee ati akifanya hivyo tu atakuwa chizi nayeye afikishwe mahakamani kwa kushawishi kufanya kitendo cha jinai, kama jinai hiyo ipo kweli kwenye sheria zetu.yeye asiachwe, asije akaenda kushawishi wengine tukachomewa makanisa yetu yaliyobaki. wote wawili wawekwe pamoja, hapo ndo haki itakuwa imetendeka.