Unaposema aliyemshawishi unamaanisha nani?Tz raha jamani...wakubwa hawaguswi...aliemshawishi kimya....
UMRI miaka 14 tu
...mtoto mwenzie.Unaposema aliyemshawishi unamaanisha nani? Maana aliyemshawishi ni mtoto mwenzie aliyemtuishia kuathirika kama atakojolea hicho kitabu.Bila ya hao waliochoma makanisa kufikishwa mahakamani hakitaeleweka kabisa
wewe sio muislamu, wala usijiite muislamu. Kama ulikua muislamu umeshakua KAFIR kwa kauli yako kuo unaona aibu kuitwa muislamu. Kama ulikua muislamu unajua nini cha kufanya.
Kwa Tanzania, litafunguliwa kesi ya uthibitisho wa umri kama wa Lulu.
Gazeti la majira limeripoti ya kuwa mtoto aliyekojolea msaafu atafikishwa mahakamani ili sheria za nchi zifutwe.
Maoni yangu ni kweli kitendo cha mtoto huyo kilikuwa cha kitoto na cha kijinga. Ila lilofanywa na kundi la waislamu kuandamana dhidi ya kitendo hicho cha mtoto, na kuharibu malia za watu pamoja na makanisa ni zaidi ya utoto, ujinga na na pia uwendawazimu.
Hivyo wakati yule mtoto akipandishwa kortini polisi wanapaswa kuwapandisha mahakamani watu waliohusika na wendawazimu huo pia.
Polisi pia inapaswa kuonesha wale waliochoma makanisa Zanzibari wapo wapi?
Vinginevyo ujinga na wendawazimu huu utatupeleka pabaya.
Hivi jamani katika utoto wetu nani hakuwahi kubishana na mwenzie ikafika muda mnawekeana vijiti ili kila mtu akanyage na atakaeanza au wa mwisho...ugomvi unaanza..... Ni michezo ya kitoto...na huyo ni mtoto...sasa ole wenu serikali impeleke mahakamani kama mtu mzima...muone itakavyokuwa...hata na wakristo sasa itabidi tuanze kuamka....THIS IS NOT FAIR at all
ila mkuu kuna mambo mengine siyakufanyia utoto haswa kwenye swala la dini. kama basi wewe unawafundisha watoto wako kufanyia utani kwenye dini basi unakosea sana mkuu. kila mtu ana imani yake nalazima tuheshimiane. Tuanze kuwafundisha na kuwaonya watoto wetu ya kwamba KUHESHIMU WAKUBWA HAITOSHI BALI PIA NI LAZIMA KUWEKA ADABU KWENYE DINI ZA WATU!!
sidhani kama itawweza kumwadhibu naturally, kama ilishindwa kumpa kichaa dogo, itaweza lini sasa? hamna kitu mle ndio maana kuran yenyewe inatetewa na wanadamu kwasababu peke yake haina nguvu. ingekuwa na nguvu wasingechoma makanisa kuitetea, haina nguvu wanoana inahitaji msaada ndo maana wanaandamana kuona imeshindwa kufanya kitu.kwanini tusiache Qur'an imuadhibu naturally huyu mtoto?
ninamshaka na wewe na uhalisia wako!, you might be an alien, ain't you?, hivi unayajua wanayoyafanya watoto wako (if at all you have one)wawapo nje ya nyumbani kwako?!, hivi unayajua uliyokuwa unayafanya ulipouwa mtoto?!, kwahiyo mnawatuma watoto wa kiislam walianzishe ligi na watoto wa kikristo ili wakishindwa mulete uhuni wenu(jihad) kwa kivuli cha dini yenu kutoheshimiwa?!, ADVISE; KWA TABIA HIYO HAMIENI ISLAMIC STATES LASIVYO= UKIMGEUZAGEUZA NYOKA HATIMAYE UTAONA MIGUU YAKE.
Msichanganye issue, kuna mtoto mmoja wa Pemba alikojolea Msaafu siku mbili kabla ya Mbagala... Kesi yake ipo Mahakamani huko Pemba!
Mkuu tunajijengea chuki sisi wenyewe. Sijui kwa nini watu wanaacha upendo wa kuthaminiana wa kawaida kabisa ambapo mtu anakuwa nao hata bila kuupata kanisani au misikitini!! Jibu ni moja tumeacha mila na desturi zetu nakuanza kufuata za watu wengine bila kujua misingi yake.
Mimi kama mkristo, sidhani kama ni dhambi nikikukaribisha kanisani nikakufundisha yale ninayoamini bila kukushurutisha baadae tukaenda msikitini nikakusikiliza ukiniambia yale unayoyaamini bila kunishurutisha. In a long run utajikuta kila mmoja anaishi kwa amani na upendo.
Kuna baadhi ya wachungaji ukiwasikiliza mahubiri yao, unaweza kurusha bomu liwapoteze usoni mwa dunia; hivyo hivyo kuna baadhi ya maimamu ukisikiliza mahubiri yao ni hatari. Na kuna baadhi ya wachungaji ukiwasikiliza unapenda kuendelea kuwasikiliza na unaweza kutamani ujiunge nao, hivyo hivyo kuna baadhi ya masheikh ukiwasikiliza mafundisho yao unasema why am I a christian?.
Lakini yote hayo yapo katika jamii zetu na pengine watu wanayafahamu ila kutokana na kuacha mila na desturi zetu tunayaapuuza.
i can see the light and the right at the end of the conduit, mumekuwa mukiwafundisha watoto kwa vitisho na udanganyifu, sasa watoto hawa wataanza kuwahoji juu ya uongo wenu, mumeanza kuumbuka, hiyo nguvu munayowahaa kuwa "satanic verses" inayo kumbe haipo. Shame upon you.
...mtoto mwenzie.
Na ukiitwa una akili za kitoto ujue kuwa hujui kitu.............si alielezwa kwamba atageuka mjusi ? amekuwa au hajawa? Ngoma ya kitoto haichezwi na wakubwa