Aniva
JF-Expert Member
- Jan 25, 2018
- 717
- 798
Wewe ni docta.... You always pronounce medical words.Huyo mwanamke una uhakika ni HIV+?
Akiwa + na anakunywa dawa vizuri mpaka judicial undectectable status hawezi kukuambukiza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni docta.... You always pronounce medical words.Huyo mwanamke una uhakika ni HIV+?
Akiwa + na anakunywa dawa vizuri mpaka judicial undectectable status hawezi kukuambukiza.
Hakuna anaependa kuambukizwa hata kwa bahati mbaya ila ndio hivyo,Sijui ila nasikia moto huko tuendako upo mwingi...tena moto wa kuacha watoto wadogo wakiteseka Duniani...
Hata hizi dawa za ukimwi bro sio nzuri kabisa na zina maudhi makubwa sana...
Sisemi sitapata ukimwi...kama nitaupata basi uje kwa bahati mbaya sana kiasi cha nilikuwa siwezi kuuzuia
What is HIV-undetectable?Ukishakuwa HIV positive na ukatumia dawa mpaka kwenye undetectable level haimaniishi kwamba huwezi kuambukiza..undetectable level inaonyesha tu kwamba viral load(idadi ya virusi imepungua)...kwa hiyo virusi bado wapo japo kwa idadi ndogo mno(the drugs are working with good efficiency)..unaweza kuambukiza japo japo sio kwa rate kubwa kama mtu ambaye ana detectable amount...
Sehemu chache sana pia wanapima viral load
Baada ya kutumia dawa vizuri na dawa kumkubali mgonjwa level ya wadudu(virusi vya ukimwi) inapungua kwa idadi katika kiasi ambacho machine za kupima wingi wa virusi vinashindwa kutambua uwepo wa virusi hao...vitabu vingi vimeandika virusi vya ukimwi vikiwa below 25-50 per microliter (uL)..hii ndio maana ya undetectable level...sio kwamba havipo kabisa..vipi na mtu akiacha kutumia dawa vinaweza kurudi juu kwa kasi ya ajabu sana
Ushawahi kuwaona wagonjwa wa UKIMWI ?? ..nenda sehemu mademu wanajiuza wagongegonge tu ili ujifanyie utafiti mwenyeweHivi bado kuna watu wanaogopa ukimwi miaka hii.
Ugonjwa feki huo we piga mzigo acha woga.
mi nadhani kwakuwa mtoto akiwa kwenye mfuko wa uzazi huwa hapati maambukizi, basi na damu itokayo kwenye mfuko wa uzazi wakati wa hedhi haina maambukizi ikiwa mhusika ana vvu!Without intervention, Mama mwenye maambukizi ana 25% - 40% chance ya kumwambukiza mtoto aliye tumboni.
Swali lako la pili kuhusu damu za hedhi, ni kweli zile damu zina VVU
kacheze tu ila vaa viatu pair tatu!Kwa mantiki hiyo basi! Naahirisha mechi iliyokuwa inaenda kuchezwa muda si mrefu...
Mmenitisha tayari! Kiranga kimenipotea ghafla.
Sitaki mkuu! Bado kuna mambo mengi sijafanya kwenye hii sayari ya tatu.kacheze tu ila vaa viatu pair tatu!
Tena MAFALA hasa ,Hivi utafanyaje mapenzi na demu wa kuokota DRY? Hawa MAFALA ndio wanaotuongezea DENI la taifa serikali inakopa kwenda kununua madawa ya kufubaza(Hata kama tunapewa bure lakini kuna gharama behind)....Kupoteza Nguvu kazi za taifa,serikali inabidi iajiri watumishi wengi wa afya kuendana na idadi ya wagonjwa,fedha za kufanya tafiti etcPia wadau achenu kufanya mapenzi kavukavu bila kuwa na uhakika na afya za hawa side chick..mtakuja kutuachia watoto yatima bure...mafala wakubwa
Ni bure machoni kwetu ila huko nyuma ya pazia kuna mengi sana ambayo taifa linaumia..nimependa kiswahili chako kiongozi...madawa ya kufubaza virusi vya ukimwi[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Tena MAFALA hasa ,Hivi utafanyaje mapenzi na demu wa kuokota DRY? Hawa MAFALA ndio wanaotuongezea DENI la taifa serikali inakopa kwenda kununua madawa ya kufubaza(Hata kama tunapewa bure lakini kuna gharama behind)....Kupoteza Nguvu kazi za taifa,serikali inabidi iajiri watumishi wengi wa afya kuendana na idadi ya wagonjwa,fedha za kufanya tafiti etc