Mtoto aliyepo tumboni huwa hana UKIMWI. Je, mwanamke mweye ukimwi akiwa hedhi ile damu yake haina VVU??

Huyo mwanamke una uhakika ni HIV+?
Akiwa + na anakunywa dawa vizuri mpaka judicial undectectable status hawezi kukuambukiza.
Wewe ni docta.... You always pronounce medical words.
 
Hakuna anaependa kuambukizwa hata kwa bahati mbaya ila ndio hivyo,
Ila kuna alieenda akarudi akakupa hizo habari kua kuna moto? Mi bado siamini
 
What is HIV-undetectable?
 
Baada ya kutumia dawa vizuri na dawa kumkubali mgonjwa level ya wadudu(virusi vya ukimwi) inapungua kwa idadi katika kiasi ambacho machine za kupima wingi wa virusi vinashindwa kutambua uwepo wa virusi hao...vitabu vingi vimeandika virusi vya ukimwi vikiwa below 25-50 per microliter (uL)..hii ndio maana ya undetectable level...sio kwamba havipo kabisa..vipi na mtu akiacha kutumia dawa vinaweza kurudi juu kwa kasi ya ajabu sana

Pasina shaka tumeelewana
 
Kwa mantiki hiyo basi! Naahirisha mechi iliyokuwa inaenda kuchezwa muda si mrefu...
Mmenitisha tayari! Kiranga kimenipotea ghafla.
 
Kila la Kheri Na Safari Ya Futi 6 chini ya Ardhi.
Usitake Mbwembwe sanduku la 50,000/= tu linakutosha kusafiria Mkuu.

Kama Unahela Kwenye Accounts zako Zote basi kazitoe uzitumie, venginevyo utakwenda bila ya Kuzitumia.

Nisalimie Kanumba huko!
 
Without intervention, Mama mwenye maambukizi ana 25% - 40% chance ya kumwambukiza mtoto aliye tumboni.

Swali lako la pili kuhusu damu za hedhi, ni kweli zile damu zina VVU
 
Without intervention, Mama mwenye maambukizi ana 25% - 40% chance ya kumwambukiza mtoto aliye tumboni.

Swali lako la pili kuhusu damu za hedhi, ni kweli zile damu zina VVU
mi nadhani kwakuwa mtoto akiwa kwenye mfuko wa uzazi huwa hapati maambukizi, basi na damu itokayo kwenye mfuko wa uzazi wakati wa hedhi haina maambukizi ikiwa mhusika ana vvu!
 
Pia wadau achenu kufanya mapenzi kavukavu bila kuwa na uhakika na afya za hawa side chick..mtakuja kutuachia watoto yatima bure...mafala wakubwa
Tena MAFALA hasa ,Hivi utafanyaje mapenzi na demu wa kuokota DRY? Hawa MAFALA ndio wanaotuongezea DENI la taifa serikali inakopa kwenda kununua madawa ya kufubaza(Hata kama tunapewa bure lakini kuna gharama behind)....Kupoteza Nguvu kazi za taifa,serikali inabidi iajiri watumishi wengi wa afya kuendana na idadi ya wagonjwa,fedha za kufanya tafiti etc
 
Ni bure machoni kwetu ila huko nyuma ya pazia kuna mengi sana ambayo taifa linaumia..nimependa kiswahili chako kiongozi...madawa ya kufubaza virusi vya ukimwi[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…