Tutaelewa wachache kwenye huu uziπ π .sijui mboga za majani zitakauka lini aiseeh ππΏMtoto anapendwa sana Yule hata akipiga kelele darasani na teacher yupo teacher anamwaga viboko kwa watoto wanaomsema dogo.
Nawe ukasehemu yake anyway kuna kiwanja kipya weekend hii?Mtoto hodary ana range 2018 kalipaki uwani kwake kwa macho yangu nimeshuhudia
Eeeenh insta babe na we team dogo kama le kokobangakwa hizi post zako dada angu inaonekana unamchukia sana na mtoto monitor na baba ake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ila utapata tabu sana mtoto na baba ake hawaondoki mpaka 2025
hahahah mimi nashabikia simba na real madrid insta babe ππππEeeenh insta babe na we team dogo kama le kokobanga