Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutaelewa wachache kwenye huu uzi😅😅.sijui mboga za majani zitakauka lini aiseeh 👍🏿Mtoto anapendwa sana Yule hata akipiga kelele darasani na teacher yupo teacher anamwaga viboko kwa watoto wanaomsema dogo.
Nawe ukasehemu yake anyway kuna kiwanja kipya weekend hii?Mtoto hodary ana range 2018 kalipaki uwani kwake kwa macho yangu nimeshuhudia
Eeeenh insta babe na we team dogo kama le kokobangakwa hizi post zako dada angu inaonekana unamchukia sana na mtoto monitor na baba ake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ila utapata tabu sana mtoto na baba ake hawaondoki mpaka 2025
hahahah mimi nashabikia simba na real madrid insta babe 😂😂😂😂Eeeenh insta babe na we team dogo kama le kokobanga