Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Asante sana kwa ushauriWote mama na mtoto wapate lishe bora na muda wa kupumzika. Tenga muda wa kucheza na mtoto kuanzia sasa na hata mdogo wake akizaliwa.
Kuna cases nyingi za emotional neglect zina affect watoto katika makuzi na wazazi wanazifanya bila wao wenyewe kufahamu.
Asante sanaMtoto aliyepo aachishwe kunyonya mara moja! Nenda kapate physical advisory kwenye kituo cha afya!
Amepata umempa mkuu??Wadau habari zenu.
Mke wangu ana mtoto wa mwaka mmoja na miezi minne (miezi 16), tena alijifungua kwa operesheni na sasa amepata tena ujauzito.
Nisaidieni
*Je, kuna madhara yoyote anayoweza kuyapata mtoto huyu mwenye mwaka na miezi minne anayoweza kuyapata? Maana bado ananyonya.
*Nifanyaje ili mke huyu, mtoto wangu na kiumbe kilichopo tumboni waweze kuwa imara (Healthy)?
Tafadhali, wadau wenye uzoefu na utaalamu
Ni kweli kabisaWote mama na mtoto wapate lishe bora na muda wa kupumzika. Tenga muda wa kucheza na mtoto kuanzia sasa na hata mdogo wake akizaliwa.
Kuna cases nyingi za emotional neglect zina affect watoto katika makuzi na wazazi wanazifanya bila wao wenyewe kufahamu.