Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si anatekeleza sera ya mkulu?Huyu jamaa sijui alishindwa ata kuchepuka ...namuonea huruma mama dahhh
nimeipenda iyo ya emotional neglect yani watoto wakiafrica wanaambuliaga kichapo cha maana na ni vidogo tofauti na wenzetuWote mama na mtoto wapate lishe bora na muda wa kupumzika. Tenga muda wa kucheza na mtoto kuanzia sasa na hata mdogo wake akizaliwa.
Kuna cases nyingi za emotional neglect zina affect watoto katika makuzi na wazazi wanazifanya bila wao wenyewe kufahamu.
Pamoja na hayo kwa mtoto amaze akiwa mdogo wake mapema habari muda wa ku-bound na wazazinimeipenda iyo ya emotional neglect yani watoto wakiafrica wanaambuliaga kichapo cha maana na ni vidogo tofauti na wenzetu
Danger days?! Kupata mimba katika ndoa ni danger? Kwa kweli siyo. Unaonaje badala ya danger ukiweka uzazi? Sema siku za uzazi.Uhai si danger Kaka. Lakini ni ushauri tu.Tupo kwenye ndoa miaka chungu nzima.
Hapa swala ni kujali afya na ustawi wa mwenzio tu. Kitu unacho halali yako kuzingatia uzazi wa mpango kwa siku 3 au 4 kwa mwezi unashindwaje?
Mkishindwa condom ktk danger days tu
Sema tu wanandoa wengi hujiendekezq na wanawake ni waoga kuwaeleza wenzao wanavyojisikia kuhusiana na swala hilo kwa kuhofia "kuchepuka"
Kitunze kikutunze Mkuu...
Uite danger au uzazi hizo mbwembwe tuDanger days?! Kupata mimba katika ndoa ni danger? Kwa kweli siyo. Unaonaje badala ya danger ukiweka uzazi? Sema siku za uzazi.Uhai si danger Kaka. Lakini ni ushauri tu.
Acha kukosoa maoni ya watu...toa maoni yako....ulikuwa unataka tumwambie atoe hiyo mimba?Akili yako ndo ilipoishia sio
Planned au ulipitiwa?Huku nilipo watu wanabeba mimba hata mtoto akiwa na mwezi mmoja, within one year mwanamke anazaa mara 2.
Wangu alibeba mimba mtoto wa kwanza akiwa 4 months.
Ni kweli mkuu lakini nawe ipo siku utateleza tu unless mkeo atumie dawa za uzazi wa mpango. Kalenda Method imetuingiza chaka wengi na sasa tumezidisha umakini mkuu.Tupo kwenye ndoa miaka chungu nzima.
Hapa swala ni kujali afya na ustawi wa mwenzio tu. Kitu unacho halali yako kuzingatia uzazi wa mpango kwa siku 3 au 4 kwa mwezi unashindwaje?
Mkishindwa condom ktk danger days tu
Sema tu wanandoa wengi hujiendekezq na wanawake ni waoga kuwaeleza wenzao wanavyojisikia kuhusiana na swala hilo kwa kuhofia "kuchepuka"
Kitunze kikutunze Mkuu...