Mtoto ana mwaka 1 na miezi 4, mama yake ana ujauzito wa mwezi 1

Hakuna madhara mspacha wa duniani hao
 
Mtoto wa 16 month haina shida hata unaweza muachisha ikiwa mama hayupo comfortable kumnyonyesha na dogo akapata tu mlo mwengine. Tafuta ushauri wa docta kuhusu mama.
 
nimeipenda iyo ya emotional neglect yani watoto wakiafrica wanaambuliaga kichapo cha maana na ni vidogo tofauti na wenzetu
 
nimeipenda iyo ya emotional neglect yani watoto wakiafrica wanaambuliaga kichapo cha maana na ni vidogo tofauti na wenzetu
Pamoja na hayo kwa mtoto amaze akiwa mdogo wake mapema habari muda wa ku-bound na wazazi
 
Danger days?! Kupata mimba katika ndoa ni danger? Kwa kweli siyo. Unaonaje badala ya danger ukiweka uzazi? Sema siku za uzazi.Uhai si danger Kaka. Lakini ni ushauri tu.
 
Danger days?! Kupata mimba katika ndoa ni danger? Kwa kweli siyo. Unaonaje badala ya danger ukiweka uzazi? Sema siku za uzazi.Uhai si danger Kaka. Lakini ni ushauri tu.
Uite danger au uzazi hizo mbwembwe tu

Haiondoi uwezkano wa mapacha wa nje

Cha msingi ni wanandoa kuwa makini au kufuata njia ya itakayowafaa wote
 
Huku nilipo watu wanabeba mimba hata mtoto akiwa na mwezi mmoja, within one year mwanamke anazaa mara 2.
Wangu alibeba mimba mtoto wa kwanza akiwa 4 months.
Planned au ulipitiwa?
 
LA MSINGI MAMA APATE LISHE BORA ILI AWEZE KUMUDU MALEZI MIMBA NA MTOTO, ILA MTOTO AKIFKSHA 2 YRZ, AMWACHISHE

KUHUSU UPASUAJI SIJUI
 
Ni kweli mkuu lakini nawe ipo siku utateleza tu unless mkeo atumie dawa za uzazi wa mpango. Kalenda Method imetuingiza chaka wengi na sasa tumezidisha umakini mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…