Mtoto anaanzakutembea akiwa na miezi mingapi.?

IMMA1

Member
Joined
May 16, 2017
Posts
61
Reaction score
47
Jamani naomba kufahamishwa, mwanangu(kike) ana miezi kumi na mmoja ila hakuwahi kutambaa..sai ivi anasimama na kutembea kwa kushika vitu. Je kwa umri wake ni sawa kuwa ivo au amechelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…