Jamani naomba kufahamishwa, mwanangu(kike) ana miezi kumi na mmoja ila hakuwahi kutambaa..sai ivi anasimama na kutembea kwa kushika vitu. Je kwa umri wake ni sawa kuwa ivo au amechelewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.