Emergence Login
Member
- May 26, 2015
- 56
- 20
Wasalaam wakuu,
Naomba kujuzwa kama kuna athari zozote za kiafya mtoto anaweza kupata endapo wazazi wake wakafanya mapenzi wakati yeye bado ananyonya. Huku Umakondeni kwetu wanadai kuwa ukifanya mapenzi bila kinga yeyote wakati mtoto ananyonya kunaweza kuathiri ukuaji wake hasa uzito, kuongeza hatua mfano anaweza kuchelewa kutembea au kusimama na nk.
NB: Wife anatumia njia ya uzazi wa mpango
Hebu kimbia kawaite sasa.Mh! subiri wakubwa waje!!
Sio kweli mtoto haathiriki kwa kunyonya wakati wazazi wakijamiiyana hakuna uhusiano katika hayo, ila jambo la kuzingatia ni lishe ikiwa mama hapati vyakula vyenye virutubisho muafaka mtoto atakosa virutubisho hivyo hivyo hato kuwa vizuri sababu ni lishe duni lkn sio kujamiiana.
Hebu kimbia kawaite sasa.
Wasalaam wakuu,
Naomba kujuzwa kama kuna athari zozote za kiafya mtoto anaweza kupata endapo wazazi wake wakafanya mapenzi wakati yeye bado ananyonya. Huku Umakondeni kwetu wanadai kuwa ukifanya mapenzi bila kinga yeyote wakati mtoto ananyonya kunaweza kuathiri ukuaji wake hasa uzito, kuongeza hatua mfano anaweza kuchelewa kutembea au kusimama na nk.
NB: Wife anatumia njia ya uzazi wa mpango
hata ukimpa mimba mtoto atanyonya muda wa miez sita haina madhara yeyote ni iman potofu nadhan walitumia mamababu kuwatisha watu waogope mapenz wakati wanalea
Kama ni wazazi halali hakuna madhara, ila ikiwa mama ataiba kwa mwanaume mwingine mtoto atapata madhara. Ndio kubemendwa huko
mkuu.. akimpa mimba mapema kuna mabadilikomakubwa ya hormones lazima yatikee ili ku-maintain hiyo mimba na hivyo hormonal cintrol ya maziwa lazima iasirike,mtoto anaweza asipate virutubisho muhimu kwa ajili yake.
Na wale wenye mke zaidi ya mmoja ikoje?
Hakuna problem. Fikirini ki sayansi na siyo kimazingaombwe. Lishe ndo mpango mzima kwa mtoto.Je? Mama akajamiiana na m2 mwngne asiye baba wa mtoto? Iyo imekaaje nayo wakuu!