DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,909
- 2,115
Mtoto haathiriki kwa kuwa manii iliyomtengeneza ni ile ile
Its just a myth, Ni Kama haielezeki hivi, kwa mwanaume haina shida, kwa mwanamke inashida ( kwa mujibi wa jibu lako).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto haathiriki kwa kuwa manii iliyomtengeneza ni ile ile
Its just a myth, Ni Kama haielezeki hivi, kwa mwanaume haina shida, kwa mwanamke inashida ( kwa mujibi wa jibu lako).
Jibu ni rahisi tu,hakuna madhara yoyote,kwasababu manii ni yale yale.Wasalaam wakuu,
Naomba kujuzwa kama kuna athari zozote za kiafya mtoto anaweza kupata endapo wazazi wake wakafanya mapenzi wakati yeye bado ananyonya. Huku Umakondeni kwetu wanadai kuwa ukifanya mapenzi bila kinga yeyote wakati mtoto ananyonya kunaweza kuathiri ukuaji wake hasa uzito, kuongeza hatua mfano anaweza kuchelewa kutembea au kusimama na nk.
NB: Wife anatumia njia ya uzazi wa mpango