Mtoto anaenyonya anaweza kuathirika endapo wazazi wakifanya mapenzi?

Its just a myth, Ni Kama haielezeki hivi, kwa mwanaume haina shida, kwa mwanamke inashida ( kwa mujibi wa jibu lako).

Hakuna shida kwa yeyote!
Uhusiano wa mfumo wa uzazi na mfumo wa chakula vijaingiliana wapi?
 
Jibu ni rahisi tu,hakuna madhara yoyote,kwasababu manii ni yale yale.
Note:Kama mkeo ana mtoto mchanga afu mnaingiliana kama kawaida,mtoto ananyonya kama kawaida but hana development yeyote,basi fahamu kuwa,uwenda mkeo anachepuka au mtoto hakuwa wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…