Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,049
Watalam nisaidieni.
Dada yangu mkubwa ana mimba ya miezi 4, ameenda clinick amepimwa na wamemwambia mtoto anakichwa kikubwa!
Nini husababisha na tumsaidiaje?
Asante.
Dada yangu mkubwa ana mimba ya miezi 4, ameenda clinick amepimwa na wamemwambia mtoto anakichwa kikubwa!
Nini husababisha na tumsaidiaje?
Asante.