naombeni ushauli kwa anae fahamu nini dawa ya kumfanya mtoto apate hamu ya kula. mimi nina mtoto anaelekea miezi 9 sasa, lakini kadri umri unavyo mgezeka ndivyo anavyo zidi kupunguza hamu ya kula chakula anataka kunyonya tu, ukimpa chakula lazima mkabane na kama ni uji anajikoholesha anautapika wote, naomba msaanda wa usauri kwahilo.
Naombeni ushauri kwa anae fahamu dawa ya kumfanya mtoto apate hamu ya kula. Mimi nina mtoto anaelekea miezi 9 sasa lakini kadri umri unavyoongezeka ndivyo anavyozidi kupunguza hamu ya kula chakula anataka kunyonya tu, ukimpa chakula lazima mkabane na kama ni uji anajikoholesha anautapika wote.
Naomba msaada wa ushauri kwa hilo.