Mtoto anakosa hamu ya kula

Mtoto anakosa hamu ya kula

ben willy

Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
5
Reaction score
1
Naombeni ushauri kwa anae fahamu dawa ya kumfanya mtoto apate hamu ya kula. Mimi nina mtoto anaelekea miezi 9 sasa lakini kadri umri unavyoongezeka ndivyo anavyozidi kupunguza hamu ya kula chakula anataka kunyonya tu, ukimpa chakula lazima mkabane na kama ni uji anajikoholesha anautapika wote.

Naomba msaada wa ushauri kwa hilo.
 
Unga wa Majani ya Muronge, unapatikana kwa Dar pale Pamba house uliza wanaouza muronge (Makai enterprises 0713607408)
naombeni ushauli kwa anae fahamu nini dawa ya kumfanya mtoto apate hamu ya kula. mimi nina mtoto anaelekea miezi 9 sasa, lakini kadri umri unavyo mgezeka ndivyo anavyo zidi kupunguza hamu ya kula chakula anataka kunyonya tu, ukimpa chakula lazima mkabane na kama ni uji anajikoholesha anautapika wote, naomba msaanda wa usauri kwahilo.
 
changanya uji maziwa kadri siku zinavyozidi kwenda punguza kiasi cha maziwa kwenye huo mchanganyiko.
 
Naombeni ushauri kwa anae fahamu dawa ya kumfanya mtoto apate hamu ya kula. Mimi nina mtoto anaelekea miezi 9 sasa lakini kadri umri unavyoongezeka ndivyo anavyozidi kupunguza hamu ya kula chakula anataka kunyonya tu, ukimpa chakula lazima mkabane na kama ni uji anajikoholesha anautapika wote.

Naomba msaada wa ushauri kwa hilo.

Pole sana inawezekana mnampa mtoto chakula cha aina moja tu... Maana watu wengi wanawapa watoto uji kila siku kuanzia asubuhi mpaka jioni... Inachosha na inapunguza hamu ya kula.. Hebu jaribu kumtengezea kitu kingine mfano mtori wa supu ya samaki au nyama, unaweza anzisha kuintroduce chakula kipya kimoja baada ya kingine... Leo akinywa mtori wa ndizi kesho mpe wa samaki then uji na kadhalika... Be creative
 
Back
Top Bottom