Mtoto anasumbuliwa na meno ya plastiki

Mtoto anasumbuliwa na meno ya plastiki

Ulirchdov

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Posts
356
Reaction score
258
Wakuu habari za wakati? naomba msaada wenu wa kitabibu juu ya tatizo hili linaloniumiza kichwa

Mwanangu wa miezi mitatu (3) anasumbuliwa na meno ya plastiki, mtoto amekuwa akilia sana hasa wakati wa usiku ndipo jana nikaamua kuwa wazi kwa jirani yangu ambae kidogo ana utaalamu na magonjwa ya watoto ila hawezi kutibu, alimfanyia mwanangu uchunguzi wa kawaida akabaini atakuwa anasumbuliwa na meno ya plastiki ambayo amesema huwa yanawasumbua sana watoto wachanga nilipomuuliza chanzo cha tatizo hilo alisema hana uelewa juu ya hilo zaidi ya kusema nimtafutie mwanangu dawa ilinishangaza kidogo iweje mtu aweze kusema ni meno ya plastiki halafu asijue chanzo ni nini au yanatokana na nini, sikutaka kumhoji sana.

Sasa wakuu naomba kuuliza ni nini chanzo cha tatizo hili? na je, mwanangu apatiwe dawa ipi aweze kupona?

Ni imani yangu kwamba Jf imesheheni wataalamu na watu mbalimbali wenye utaalam na upeo wa kitabibu watakaoweza kunipa ushauri na mawazo ya kitaalam ili mwanangu aweze kupona. Naomba msaada wenu wakuu!!
 
mara ya mwisho tulikuwaga na mtoto analia usiku...kumbe fizi zake zina Fungus!!! mpeleke Hospital wamfanyi Swab akuna mama anae kuwa na mashine ya POLYMER kuu...man....achana na story za kijiweni mpeleke mtoto kwa dr apecialist wa watoto kama pale furaha clinic karibu na airtel.JF sio DR acha hizo
 
Mkuu nashukuru sana kwa msaada wako ila nilitangulia kusema jf imesheheni watu wenye utaalam wa kitabibu ambao kupitia mawazo yao ya kitaalam mfano ni haya uliotoa yatanisaidia ili mwanangu apate tiba ya uhakika na kupona kabisa
 
kawaida mtoto anatakiwa angalau meno yaote kuanzia miezi 6 na kuendelea. chini ya hapo meno huwa legevu na hayaanzii kwenye mzizi so hung'oka mapema na yanaweza dhuru mtoto. soln tafuta vidonge vya pen v saga na msugue mtoto fizi siku tatu tu yanapotea kabisa. nb usisugue kwa nguvu ukamchubua, just rub gently kama unafanya masaji vile.
 
Ubarikiwe sana mkuu
 
Mkuu nashukuru sana kwa msaada wako ila nilitangulia kusema jf imesheheni watu wenye utaalam wa kitabibu ambao kupitia mawazo yao ya kitaalam mfano ni haya uliotoa yatanisaidia ili mwanangu apate tiba ya uhakika na kupona kabisa
JF ni Kila kitu mkuu.ata CAG anaweza toka huku🙏🙏ila mtoto mpeleke kwa specialist.ila akuna plastiki yeyote toka kwa binadamu.plastik ni mashine na sio pengine.Mungu wabariki kina mama wote popote na pia mbariki mama angu🙏🙏
 
Nitafanya hivyo mkuu🙏🙏
 
Wakuu habari za wakati? naomba msaada wenu wa kitabibu juu ya tatizo hili linaloniumiza kichwa

Mwanangu wa miezi mitatu (3) anasumbuliwa na meno ya plastiki, mtoto amekuwa akilia sana hasa wakati wa usiku ndipo jana nikaamua kuwa wazi kwa jirani yangu ambae kidogo ana utaalamu na magonjwa ya watoto ila hawezi kutibu, alimfanyia mwanangu uchunguzi wa kawaida akabaini atakuwa anasumbuliwa na meno ya plastiki ambayo amesema huwa yanawasumbua sana watoto wachanga nilipomuuliza chanzo cha tatizo hilo alisema hana uelewa juu ya hilo zaidi ya kusema nimtafutie mwanangu dawa ilinishangaza kidogo iweje mtu aweze kusema ni meno ya plastiki halafu asijue chanzo ni nini au yanatokana na nini, sikutaka kumhoji sana.

Sasa wakuu naomba kuuliza ni nini chanzo cha tatizo hili? na je, mwanangu apatiwe dawa ipi aweze kupona?

Ni imani yangu kwamba Jf imesheheni wataalamu na watu mbalimbali wenye utaalam na upeo wa kitabibu watakaoweza kunipa ushauri na mawazo ya kitaalam ili mwanangu aweze kupona. Naomba msaada wenu wakuu!!
HAMUNA MENO YA PLASTIKI, MTOTO ATAKUWA NA UAMBUKIZO KINYWANI
 
Back
Top Bottom