DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Anasoma kivule huyo dogo form oneHuyu mtoto ana miaka mingapi?
Kivule iko mkoa au wilaya gani?Anasoma kivule huyo dogo form one
Ana 15 yrs
Kaimba nyimbo inaitwa Ebeneza ni nyimbo kubwa Sana hapa Tz na kubwa
Mungu azidi kumuinua,amekua sanaAnasoma kivule huyo dogo form one
Ana 15 yrs
Kaimba nyimbo inaitwa Ebeneza ni nyimbo kubwa Sana hapa Tz na kubwa
Labda ma powdaa yamezidiNaona watoto wa siku hizi wana ndevu na mvi