Habari, na mimi Naweza kupata huo unga plz mtoto anasumbua sana kula, 0754610880 namba yangu. Asante.kama haya unayosema ni kweli
Nitafute PM Mkuu
Kuna Unga ambao mtoto akipata uji wake siku moja, ya pili anakula kama kawaida,
ni tatizo la kawaida
Nipem namba
Unga ni TZS 5000 kilo moja
mwekee sahani moja na watoto wenzieNi mtoto wa kiume, ndio anatimiza mwaka mmoja. Hapendi kula, licha ya kumbadilishia chakula mara kwa mara. Mama yake humlazimisha kula angalao vijiko viwili.
Kwel kabsa sidhan kama kuna mtoto anaepend kula ktk umri huo,,,cha muhim ni kumlisha kwa nguv tu angalau asishinde njaa,,,ukimwonea hurum itakula kwkoPole sn, hata mm nina mtoto wa umri huo kula ni mtihani, na kuna jamaa yang pia mwanae ni same age na wang, hawataki kula kabisa, tena ni wakiume, ni kunyonya tuu na kula samaki mwanzo mwisho, cha kushukuru uzito unapanda vzur tuu kila mwezi, karibu kumpa samaki wa kuchemsha tuu.
usinisahau kwenye ajirakwa hali hii napata ushawishi kufungua high quality children daycare center,ili watoto walelewe na wakuzwe katika misingi sahihi ya malezi na makuzi
Dawa ya watoto wanaokataa kula!Ni mtoto wa kiume, ndio anatimiza mwaka mmoja. Hapendi kula, licha ya kumbadilishia chakula mara kwa mara. Mama yake humlazimisha kula angalao vijiko viwili.
unatakiwa umpe mboga inaitwa KIMANSHIKHAWa kwangu pia hapendi kula 2yrs na wakati unamlazimisha kula hua anasinzia na kulala kabisa ila ukiacha kumpa anaamka na kuanza kucheza
Ni mtoto wa kiume, ndio anatimiza mwaka mmoja. Hapendi kula, licha ya kumbadilishia chakula mara kwa mara. Mama yake humlazimisha kula angalao vijiko viwili.
Mwanangu pia napenda kunyonya tuuu na kula samaki na maziwa mtindi. Vingine hatakiPole sn, hata mm nina mtoto wa umri huo kula ni mtihani, na kuna jamaa yang pia mwanae ni same age na wang, hawataki kula kabisa, tena ni wakiume, ni kunyonya tuu na kula samaki mwanzo mwisho, cha kushukuru uzito unapanda vzur tuu kila mwezi, karibu kumpa samaki wa kuchemsha tuu.
Njia ya kukaba watoto sio sahihi, mtoto atajenga picha mbaya kuhusu kula, ukifika muda wa kula tu ataanza kulia.Ila kama mzazi tumia kila njia
-kukaba
-kuimba nyimbo (za chekechea zile)
- kumuacha acheze, unakuwa unamfuata alipo unamlisha kijiko, then akimeza unamfuata tena
-kumlishia nje anakuwa anashangaa shangaa vindege, miti, kunguru