Yaani ukimuona mtoto wala huulizi ni wa nani copyright ya babaye.. Sema tu bibie anakereka na kutowajibika kwa jamaa.. Ndo anataka amdelete kbs kwny makaratasi yanayomhusu mtoto..
babuyao nawafahamu wawili ambao hawataki hata kuwasikia hao baba zao!na wanasema kabisa kua wa kambo ndio baba coz yeye ndie alimlea na jina alikua na la baba mzazi ila kabadilisha kwa hiari...sasa anatumia la baba wa kambo!kila mtu ana uhuru wakuchagua...sasa hivi mtoto hawezi kuchagua kwa hiyo mama amchagulie linalompendeza..akikua atabadilisha akitaka!alafu kwani akiwa na jina la mama ndo hawezi kuonyeshwa baba yake akitaka??sioni uhusiano wa jina na kumfahamu baba!
kama mtoto ni wangu ningemuita katarina perpetua sarwat gwandu, sijui mambo ya john lema hiyo ni kimpango wake....pambaf.....
kwanini uwe na jina la mtu ambae hataki kua na uhusiano na wewe????kama hataki kukutambua jina lake litakua vipi lako???
Hakuna hata moja hapo tena yote hayo na matelekezaji kishenzi, hawasaidii kitu ni kujisifu tu nina mtoto na fulani tena wakiume aisee.
kama mtoto ni wangu ningemuita Katarina Perpetua Sarwat Gwandu, Sijui mambo ya John Lema hiyo ni kimpango wake....pambaf.....
Apewe la mama yake!Kwani inapunguza nini..?
No! no! no!, bali Mwakasyuka, Mwanginde, Mwanyingili, Mwasandube, Mwakisi, Mwandumbya, Mwandosya, Mwasakafyuka, Mwantepanya etc please.
preta,una mawazo kama mm. Kuna haja gani ya kumpa jina la mwanaume suruali! Hivi anajua thamani ya neno baba? Au ye anadhani kwakua amemtoa kiunoni basi ndo yatosha kupewa ubini wake na kuitwa baba! What a shame!
preta,una mawazo kama mm. Kuna haja gani ya kumpa jina la mwanaume suruali! Hivi anajua thamani ya neno baba? Au ye anadhani kwakua amemtoa kiunoni basi ndo yatosha kupewa ubini wake na kuitwa baba! What a shame!
Kwani hilo halipendezi??Tunamaanisha la ukoo wa mama!teh teh
yaani aitwe leah Peter Anna?:crazy:
Si haki, basi mtafute siku wewe na mamii ili mumrudishie mbegu yake mzee wa watu aliyoitoa( biological father) ili muwe free na maisha kabisa.
Kuna mdau mmoja aliandika:
Baba hachaguliwi,
mama hapigiwi kura...