Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Angemkuta baba yake anamgegeda mwanamke asiye mama yake... angempigia makofi kumpongezaMwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Kijiji cha Deriat kaunti ya Kericho, Kenya amemuua mzee mwenye umri wa miaka 65 kwa kumchoma kisu kifuani baada ya kumkuta akishiriki tendo la ndoa na mama yake
Inadaiwa kuwa kijana huyo alilalamika kuwa mzee huyo si babake na hivyo hana mamlaka ya kulala nyumbani kwao licha ya babake kufariki
Kijana huyo alitoweka baada ya kutekeleza unyama huo