Tuwaseme JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 645 Reaction score 1,192 May 10, 2017 #1 Baba alimuulza mtoto mbona leo unawai sna shule. Mtoto akamjbu: Namwahi mwalimu anayeuza bagia shuleni. Baba: Mjinga sna wee baada ya kuwai masomo unawahi bagia? Mtoto: Baba elimu haina mwisho ila bagia mwisho wake saa nne 4.
Baba alimuulza mtoto mbona leo unawai sna shule. Mtoto akamjbu: Namwahi mwalimu anayeuza bagia shuleni. Baba: Mjinga sna wee baada ya kuwai masomo unawahi bagia? Mtoto: Baba elimu haina mwisho ila bagia mwisho wake saa nne 4.
baba bora JF-Expert Member Joined Dec 25, 2016 Posts 1,500 Reaction score 1,093 May 10, 2017 #2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,311 Reaction score 15,640 May 10, 2017 #3 Content yote ipo kwenye kichwa cha habari