Mtoto Giles

Mtoto Giles

Aisee hana amani tena Bujibuji

Mkuu unajua watu wanang'ang'ania Kuwa giLESI ni bujibuji, Bujibuji Yuko nje ya mji, na siyo yeye! Atakuja kutoa uzi hapa kuthibitisha hilo.
Ndiyo maana sibishani na watu hapa akija akajieleza watu watashangaa sana.
 
Last edited by a moderator:

Nje ya mji hakuna netwrk mkuu?
 
Last edited by a moderator:
mkuu Rich Pol nafikiri enough is enough,haya mambo yanatokea na yapo sana hata mimi yaliwahi kunikuta na wala sio makusudi ila tu inaweza kuwa kwa sababu ya kutumia pc moja kumwelekeza mtu mwingine namna ya kuiejoy jf so let it be jamani imetosha.
 
Hataki kuamini kama hela ndo zishaliwa na papuchi hakuna tena...
 
Ushamba tu na utoto unawasumbua.
Hapa huwezi mkuta legendary hata mmoja analalamika eti kaliwa tuvocha.
si wanapenda vya mteremko,humu watu wanatumia id tofauti na wala haishangazi,kwanza id zenyewe nyingi siyo verified kwahiyo hamna hata haja ya kumsumbua mtu
 
  • Thanks
Reactions: amu
si wanapenda vya mteremko,humu watu wanatumia id tofauti na wala haishangazi,kwanza id zenyewe nyingi siyo verified kwahiyo hamna hata haja ya kumsumbua mtu

Halafu hawa madogo humu ndani wawe na heshima kwa wakubwa zao watapata sio sababu ya umburura wao kuwavua nguo.
 
si wanapenda vya mteremko,humu watu wanatumia id tofauti na wala haishangazi,kwanza id zenyewe nyingi siyo verified kwahiyo hamna hata haja ya kumsumbua mtu[/QUOTE

Hakuna anaesumbuliwa hapa, ila watu wanataka kumsumbua mtu,
wengine ndiyo ugonjwa wetu huo.
 
Halafu hawa madogo humu ndani wawe na heshima kwa wakubwa zao watapata sio sababu ya umburura wao kuwavua nguo.
mi hii nimeichukia sana,watu wanatumia sababu tofauti,wengine tuna zingine za kuingia jukwaa la siasa.
halafu kwa id zetu kuna baadhi ya members tunafahimiana baada ya kuchat,kwahiyo kwenye ishu zako zingine binafsi ukitaka ushauri huwezi kuleta kwa id ambayo baadhi ya members wengine wanafahamu,huwezi kujiexpose labda kwa kuleta ishu zako na mke/mme kwa id inayojulikana na wale friends zako,au ishu ya afya mtu huwezi kujiexpose kusema unaumwa sehemu za siri au una kaswende na humu unajulikana,kwahiyo id nyingine si swala la kuchekana kabisa ni kitu cha kawaida.
 
Hii aione Rich Pol
 
Last edited by a moderator:
Mtoto Giles Mtoto uliyejaaliwa, ukipishana na mwanaume hata kama ana mwenzi wake lazima ageuke, ukiembea makalio yako yanacheza huku yakitetemeka na kusababisha mioyo yetu kwenda mbio.

Umekula sana hela yetu ya vocha na saloon japo wengine hawawezi kijitokeza. Mtoto unaependa kuchat zaidi ila simu hupokei eti ulikuwa mbali na simu, uko wapi mrembo mbona huonekani? Bado tunakupenda njoo tukupe na ushauri wa lile tatizo lako Giles.

Nataka mwongozo kutoka kwenu, wewe na Kibo10, hii scandal iliishaje aisee?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom