Mtoto hakui

kuna ushauri mwingine waweza pata kwa kanjanja ukakusaidia.kwani dokta mtu kama ww ndugu
 
Kama hujaenda kwa daktari tungekushauri uende kwa daktari sasa wewe umeshaenda huko na umeambiwa hana tatizo unataka nini cha ziada?
Au we unataka aongezeke kilo mbili kila mwezi?
 
Jaribu kumpa mtoto diet nzuri.usimpe mtoto vyakula vya makopo au dukani abadan kabisa.mpe lishe bora na matunda sikushauri aache kunyonya labda maziwa ya mama yanamdhuru ila jaribu kumpatia lishe bora uji mwepesi itampa faida kubwa utaleta mrejesho hapa.nakukumbusha tena usimpe mtt vyakula vya dukani kabisa
 
thanks ntajitahidi kuuzingatia huu mkuu.
 
Kama hujaenda kwa daktari tungekushauri uende kwa daktari sasa wewe umeshaenda huko na umeambiwa hana tatizo unataka nini cha ziada?
Au we unataka aongezeke kilo mbili kila mwezi?
no sio aongezeke kilo mbili.ujue mtoto anapofikia miezi mitatu anaonekana kuwa na mwili wa kuridhidha lakini huyu ni kama amezaliwa leo
 
klinik wanasema eti ni hali ya kawaida.maana anaongezeka nusu kilo kila mwezi shida haongezeki
Unataka aongezekw kilo ngapi kwa mwezi?

Alizaliwa na kilo ngapi????

Sasa hivi ana kilo ngapi?

Kama kumbujumhu zangu zipo sawa ninavyofahamu anatakiwa aongezeke gram 400 kila mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…