abuu msakati
Member
- Jul 22, 2016
- 32
- 11
Naombeni mawazo yenu mtoto wangu hakui/haongezeki uzito wala unene toka azaliwe ana miezi minne sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
klinik wanasema eti ni hali ya kawaida.maana anaongezeka nusu kilo kila mwezi shida haongezekikiswahili watasema umembemenda mtoto.,
kwani kliniki wamesemaje?
specialist nshaonana nae amemcheki naye anasema yuko sawanenda kwa daktari wa watoto kwa uchunguzi na msaada zaidi
klinik anaenda kawaida bila kukosahumpeleki kliniki au?
Sasa kama specialist kashakuambia yuko sawa, unataka tukuisaidie zaidi sisi makanjanja??specialist nshaonana nae amemcheki naye anasema yuko sawa
nmependa ushaur wakoNashauri ubadili kituo cha afya au Hospitali....
thanks ntajitahidi kuuzingatia huu mkuu.Jaribu kumpa mtoto diet nzuri.usimpe mtoto vyakula vya makopo au dukani abadan kabisa.mpe lishe bora na matunda sikushauri aache kunyonya labda maziwa ya mama yanamdhuru ila jaribu kumpatia lishe bora uji mwepesi itampa faida kubwa utaleta mrejesho hapa.nakukumbusha tena usimpe mtt vyakula vya dukani kabisa
no sio aongezeke kilo mbili.ujue mtoto anapofikia miezi mitatu anaonekana kuwa na mwili wa kuridhidha lakini huyu ni kama amezaliwa leoKama hujaenda kwa daktari tungekushauri uende kwa daktari sasa wewe umeshaenda huko na umeambiwa hana tatizo unataka nini cha ziada?
Au we unataka aongezeke kilo mbili kila mwezi?
Lakin doctor Ni professional Ni mtu pia lakin anaujuzi zaidi katika mambo hayokuna ushauri mwingine waweza pata kwa kanjanja ukakusaidia.kwani dokta mtu kama ww ndugu
[emoji106]Lakin doctor Ni professional Ni mtu pia lakin anaujuzi zaidi katika mambo hayo
Unataka aongezekw kilo ngapi kwa mwezi?klinik wanasema eti ni hali ya kawaida.maana anaongezeka nusu kilo kila mwezi shida haongezeki
Ananyonya vizuri maziwa ya mama bila kumchanganuishia chochote?naombeni mawazo yenu.mtoto wangu hakui/haongezeki uzito wala unene toka azaliwe ana miezi minne sasa