Mtoto hakui

Mtoto hakui

Unataka aongezekw kilo ngapi kwa mwezi?

Alizaliwa na kilo ngapi????

Sasa hivi ana kilo ngapi?

Kama kumbujumhu zangu zipo sawa ninavyofahamu anatakiwa aongezeke gram 400 kila mwezi
alizaliwa na kilo tatu.sasa ivi ana miezi mitatu na nusu ana kilo nne
 
klinik wanasema eti ni hali ya kawaida.maana anaongezeka nusu kilo kila mwezi shida haongezeki
Sasa ulitaka aongzeke kg ngapi pia inategemea mamake anakula nn maana mana ndo anayemrutubisha mtoto km vipi mpr bia mbili daileee
 
ananyonya vizur bila shida

Ondoa hofu ya aliyesema ati amebemendwa, mtoto aliyebemendwa maziwa ya mama huwa yanaharibika na mtoto anayakataa....kama ananyonya vizuri nina mashaka hashibi..... Kuongezeka kwa nusu kilo kwa mwezi naweza kukuunga mkono hakuridhidhishi sana....kasi ya mtoto mchanga kukua miezi ya awali ni kubwa hivyo hata uzito mwanzoni huongezeka kwa kasi....ongezeko zuri la wastani ni 1.5kg kwa mwezi, amepungua basi angalau gramu 800-kilo moja.... Kinachoongeza kwa kasi kukua kwa mtoto ni maziwa ya mama.....Kwa wastani ananyonya mara ngapi mchana na mara ngapi usiku....? Pia kama unaweza mama ajaribu kukamua kwenye chupa safi (sterilized) uone zinafika mils ngapi....?
 
alizaliwa na kilo tatu.sasa ivi ana miezi mitatu na nusu ana kilo nne
Yupo nyuma kidogo

Je anashiba

Mama yake anakula chakula bora pamoja na suppliments???

Anapata maziwa ya kutosha.....kama wakatu mwingine ukiona kila wakati mtoto ananyonya ujue hashibi....

Je usiku ananyonya vizuri?

Anashiba?????
 
Yupo nyuma kidogo

Je anashiba

Mama yake anakula chakula bora pamoja na suppliments???

Anapata maziwa ya kutosha.....kama wakatu mwingine ukiona kila wakati mtoto ananyonya ujue hashibi....

Je usiku ananyonya vizuri?

Anashiba?????
yeah ananyonya vizur na anashiba kabisa
 
Ilo tatizo nshaona watoto 2 yani ni ka wazee wakati hawajafikisha hata mwaka.
Nadhani huu ni ugonjwa mpya umeingia.
 
Back
Top Bottom