mwita musira
Member
- Feb 8, 2015
- 15
- 3
Wazazi wa kizazi cha sasa ni shida. Wasiliana na wamama wa zamani. Mtoto wa aina hiyo hua analazimishwa kunywa uji/maziwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unafanya kazi gani?
Production ya maziwa inaongezeka pale mtoto anaponyonya ikiwa hanyonyi hayatengenezwi mengi na ndio maana unaona hayatoki mengi.Uwe unakamua ili kustimulate lactic glands!maziwa yalikua mengi ule mwezi wa kwanza na wa pili alivokua ananyonya sana alivopunguza naona hata nayo yamepungua...msosi nakula lakini wapi aah naona najenga kitambi tu maziwa hayaji!!!ahsante ngoja labda nile chakula tofauti nione ntakupa feedback
mweh kazi nayo inachangia???mie ticha usinambia vumbi la chaki linamfanya asinyonye
Sweetheart kama unasema scenario yangu. Mi nineshaanza kumpa uji tangu alipofika 2 months. #SueMe
Evelyn Salt angalia pia position unayomuweka mtoto, sometimes inaweza kuwa inampa discomfort hivyo kuassociate breastfeeeding with pain. unachotakiwa ni kuhakikisha unamposition vizuri na chuchu iingie yote mdomoni kwa mtoto.
pia je kuna muda ambao alihitaji kunyonya akakosa? watoto wana tabia ya kususa kunyonya haswa demands zao zinapokuwa hazitekelezwi.
Usirudi tena kwenye jukwaa la wakubwa unamchosha anakataa haki yake ya msingi
kunyonya kidole kwa mtoto wa miezi michache ni dalili ya njaa.nshajaribu namlaza nambeba lakini wapi juzi nmejaribu kusimama akanyonya.kidunchu jana leo kagoma kabisa yupo bize na.kunyonya kidole yan ndo.kaacha nyonyo hvo
ha ha ha haya buana
For sure ninaku-sue, of all people?! Kuna comment yako mahali ilinitia moyo to try harder, kumbe wewe ume-give up?
kunyonya kidole kwa mtoto wa miezi michache ni dalili ya njaa.
Ulichokosea ni kumpa maziwa ya suppliment, aliona tofauti na nyonyo kwenye uvutaji wa maziwa.
I reserve my comments! Hongera kwa kuwa mzazi!
wakati mwingine hili kinatibika na tiba za kiasili huenda pia kuna michezo michafu ambayo mama aweza kawa kafanyiwa na kwa kuwa watoto ni km nalaika hawana zambi na wanaulizi wao hukingwa wasidhurike na ubaya ulio kwa mamake. nimewashuhudia wengine wengi wenye tatizo hilo likisababushwa na mama kuwa na mapepo.
wapendwa naombeni mnisaidie katika hili, huyu mtoto ashanichosha ana miezi minne tu ila hataki kabisa kunyonya, alianza kama miezi miwili hivi ikabidi wa tatu nianze kumpa maziwa ya fomula ila sasa naona kawa too much siku nzima hajaonja hata tone yupo bize ananyonya kidole tu...hapa namuona ana njaa kabisa make kanahemea juu juu ila nkikapa nyonyo ndo kwanza kanalia...nmechoka kukabembeleza hadi nasikia hasira kangekua kakubwa ngekapa hata vibao viwili tu vya makalio!!!!
Msaada plzzz nifanyeje???
Cc: karucee, king'ast, gorgeousmimi, geniveros na kina mama wote...
Kina baba na nyie nmewamention moyoni