gegedaneni siku za kupata mimba tuMm nim2 na mkeo ila hatujazaa na tumepima mbegu zetu ziko vizu ila mama anashindwa kupokea mimba.je? Tatizo ni nini?
Mm nim2 na mkeo ila hatujazaa na tumepima mbegu zetu ziko vizu ila mama anashindwa kupokea mimba.je? Tatizo ni nini?
We utakuwa mgeni kwenye hili jukwaa.... Muulize Heaven on Earth anajuwa, maana huwa namgegeda sana tu...nimejaribu kutafuta maana ya neno kugegeda cjapata kwe kamusi..! Naomba maana yake
Mkuu hapo kwenye nyekundu kuna hatari ukakutana na akina "mushi", maeneo mengine nadhani ni mchecheto tu ulionao ndo maana kuna mapungufu machache. Karibu hapa JF, utajibiwa tu. Hata hivyo ingefaa ukaulizia kupitia MMU/JF Doctor.Ok?
nimejaribu kutafuta maana ya neno kugegeda cjapata kwe kamusi..! Naomba maana yake
King'asti kivipi tena? ili wajue jinsi ya kupata mtoto ama?Mafundisho ya ndoa ingebidi yafanyikie hospitali.
Nizipi hizo, Mkuu?gegedaneni siku za kupata mimba tu
nimejaribu kutafuta maana ya neno kugegeda cjapata kwe kamusi..! Naomba maana yake
Madhali wote hamna tatizo then usiwe na shaka nina matumaini mkeo amechekiwa viungo vyake vya uzazi!!
Ukiwa stressed pia inachangia kutoconceieve mapema..Ninachoweza kukushauri ni mutege zile siku ambazo mkeo ana ovulation kisha mcheze ule mchezo wa kikubwa.Kuna njia tofauti za kugundua hili mojawapo ni KALENDA ni njia ambayo inatumiwa na wengi lkn inapaswa ujue mkeo ana mzunguko wa siku ngapi na lini anapata siku zake.
Au kuna kipimo kina OVULATION TEST/OVULATION PREDITOR KIT ambacho unatumia kupima ili kucheki kama upo kwenye siku za hatari,Hiki kipimo unaweza kusoma kuhusu maelezo yake ukikinunua.
Niligusia suala la stress awali jaribuni kutoa akili kwamba mnataka mtoto kwa sasa mufurahie tendo kama kawaida...take it easy then mtaona mambo yatakavyokubali!!
Kila la kheri katika zoezi hili!!