Mtoto hupatiana je?

Mtoto hupatiana je?

MOLAM

Senior Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
141
Reaction score
20
Mm nim2 na mkeo ila hatujazaa na tumepima mbegu zetu ziko vizu ila mama anashindwa kupokea mimba.je? Tatizo ni nini?
 
kijana unatumia mikao gani ktk kugegeda? mikao kama dog style ni ngumu kushika mimba,kwa hiyo ndo style yako badilisha.
 
Jaribu kuwaona wataalamu katika kituo cha Afya mahali popote ulipo ili wakupe ushauri zaidi.
 
Mm nim2 na mkeo ila hatujazaa na tumepima mbegu zetu ziko vizu ila mama anashindwa kupokea mimba.je? Tatizo ni nini?

Mkuu hapo kwenye nyekundu kuna hatari ukakutana na akina "mushi", maeneo mengine nadhani ni mchecheto tu ulionao ndo maana kuna mapungufu machache. Karibu hapa JF, utajibiwa tu. Hata hivyo ingefaa ukaulizia kupitia MMU/JF Doctor.Ok?
 
tatizo mwl wa kiswahili akiingia tu darasan nilikuwa natoka!!
 
mimi49 na wenzanke watakusaidia, hao ndio wataalamu anga hizo.
 
Last edited by a moderator:
Madhali wote hamna tatizo then usiwe na shaka nina matumaini mkeo amechekiwa viungo vyake vya uzazi!!
Ukiwa stressed pia inachangia kutoconceieve mapema..Ninachoweza kukushauri ni mutege zile siku ambazo mkeo ana ovulation kisha mcheze ule mchezo wa kikubwa.Kuna njia tofauti za kugundua hili mojawapo ni KALENDA ni njia ambayo inatumiwa na wengi lkn inapaswa ujue mkeo ana mzunguko wa siku ngapi na lini anapata siku zake.
Au kuna kipimo kina OVULATION TEST/OVULATION PREDITOR KIT ambacho unatumia kupima ili kucheki kama upo kwenye siku za hatari,Hiki kipimo unaweza kusoma kuhusu maelezo yake ukikinunua.
Niligusia suala la stress awali jaribuni kutoa akili kwamba mnataka mtoto kwa sasa mufurahie tendo kama kawaida...take it easy then mtaona mambo yatakavyokubali!!
Kila la kheri katika zoezi hili!!
 
nimejaribu kutafuta maana ya neno kugegeda cjapata kwe kamusi..! Naomba maana yake

ni kile kitendo cha m/me anakuwa juu ya m/ke,
sasa huyu m/me anachukua kiko.jo.leo(nyoka) chake anaingiza kwenye kiko.jo.leo(samak) cha m/ke afu me anakuwa anapiga pushup
kwahyo kitendo hicho kinaitwa--Kugegeda=kufanyana matusi.
Thatha hapo thi umenielewa?
 
Madhali wote hamna tatizo then usiwe na shaka nina matumaini mkeo amechekiwa viungo vyake vya uzazi!!
Ukiwa stressed pia inachangia kutoconceieve mapema..Ninachoweza kukushauri ni mutege zile siku ambazo mkeo ana ovulation kisha mcheze ule mchezo wa kikubwa.Kuna njia tofauti za kugundua hili mojawapo ni KALENDA ni njia ambayo inatumiwa na wengi lkn inapaswa ujue mkeo ana mzunguko wa siku ngapi na lini anapata siku zake.
Au kuna kipimo kina OVULATION TEST/OVULATION PREDITOR KIT ambacho unatumia kupima ili kucheki kama upo kwenye siku za hatari,Hiki kipimo unaweza kusoma kuhusu maelezo yake ukikinunua.
Niligusia suala la stress awali jaribuni kutoa akili kwamba mnataka mtoto kwa sasa mufurahie tendo kama kawaida...take it easy then mtaona mambo yatakavyokubali!!
Kila la kheri katika zoezi hili!!

hicho kipimo kinatumikaje? Au kama vile kile cha ujauzito kwa mkojo?
Je farmacy vipo?
 
Back
Top Bottom