Finder boy JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 608 Reaction score 150 Jun 21, 2020 #1 Salamu! Napenda kufahamu mtoto hupewa jina siku ya ngapi mara baada ya kuzaliwa? Je, ni siku ya kwanza, au siku yoyote? Msaada wenu tafadhali katika hili.
Salamu! Napenda kufahamu mtoto hupewa jina siku ya ngapi mara baada ya kuzaliwa? Je, ni siku ya kwanza, au siku yoyote? Msaada wenu tafadhali katika hili.
rip faza_nelly JF-Expert Member Joined Feb 19, 2018 Posts 6,905 Reaction score 9,740 Jun 21, 2020 #2 Siku yoyote, vingine Ni Imani tu
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,214 Reaction score 50,188 Jun 21, 2020 #3 Kuna wengine kabla hawajazaliwa tayari washapewa jina
Chizi Maarifa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 14,762 Reaction score 32,386 Jun 21, 2020 #4 Muda wowote ule...
H havanna JF-Expert Member Joined Sep 17, 2016 Posts 2,506 Reaction score 2,747 Jun 21, 2020 #5 Siku tu akizaliwa
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,582 Reaction score 123,152 Jun 21, 2020 #6 Jina ni identity tu, halina maana nyingine zaidi ya hilo, mengine ni imani tu. Jina unampa muda utakao amua wewe.
Jina ni identity tu, halina maana nyingine zaidi ya hilo, mengine ni imani tu. Jina unampa muda utakao amua wewe.
I IQup JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 2,042 Reaction score 3,365 Jun 21, 2020 #7 Mimi niliandaa jina la kiume akaja wa kike, halooo nilikaa WIKI NZIMA BILA JINA, kila wakiniuliza jina niliwajibu subirini..baada ya wiki nikaja na jina
Mimi niliandaa jina la kiume akaja wa kike, halooo nilikaa WIKI NZIMA BILA JINA, kila wakiniuliza jina niliwajibu subirini..baada ya wiki nikaja na jina
mazojms JF-Expert Member Joined Sep 22, 2017 Posts 1,625 Reaction score 2,546 Jun 21, 2020 #8 Jina ni sauti inayotoka mdomoni mwa mtu akiwa anakuhitaji.
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,708 Reaction score 35,719 Jun 21, 2020 #9 Nlikuwa na majina mawili kabla binti yangu hajazaliwa siku nlipomshika mkononi baada ya kutoka hospitali nilitamka tu ndo likawa jina lake.
Nlikuwa na majina mawili kabla binti yangu hajazaliwa siku nlipomshika mkononi baada ya kutoka hospitali nilitamka tu ndo likawa jina lake.
Shinson JF-Expert Member Joined Aug 14, 2019 Posts 219 Reaction score 263 Jun 21, 2020 #10 Ndani ya siku nane.