pole sana,kama damu zimeacha kuvuja na halii ,ni huduma ya kwanza nzur,ni vyema ukamuona daktar kwa maelezo zaidi,na kama kaangukia upande wa mbele au nyuma na urehu/kimo cha hicho kitimsaada wadau mwanangu ana
mwaka na miez miwili ,ameanguka kutoka kwenye kiti hadi chini akaangukia
meno mawili ya juu mbele na yanatingishika japo ni kidogo sio sana na
damu imetoka nying kiasi!nimempa paracetamol na amelala.je kuna shida
yoyote na hayo meno kwa kuwa yanacheza kidogo?ushauri nifanyaje kwani
niko mbali na je itamletea shida yoyote hapo baadae?
msaada wadau mwanangu ana mwaka na miez miwili ,ameanguka kutoka kwenye kiti hadi chini akaangukia meno mawili ya juu mbele na yanatingishika japo ni kidogo sio sana na damu imetoka nying kiasi!nimempa paracetamol na amelala.je kuna shida yoyote na hayo meno kwa kuwa yanacheza kidogo?ushauri nifanyaje kwani niko mbali na je itamletea shida yoyote hapo baadae?
nicnic, pole kwa tatizo la mtoto..
Ningependa kuuliza
-Mtoto ameangukia wapi/nini hapo chini?
-Kama mtoto alipoteza fahamu(kama ndiyo, kwa muda gani)?
-Vipi kumeza damu, na ingawa subjective(meno yamelegea kiasi gani)? kukutikisa kwa kuguswa, kula kitu,
Ni vizuri kufika katika HOSPITALI kujua hasa tatizo liko wapi.