msaada wadau mwanangu ana mwaka na miez miwili ,ameanguka kutoka kwenye kiti hadi chini akaangukia meno mawili ya juu mbele na yanatingishika japo ni kidogo sio sana na damu imetoka nying kiasi!nimempa paracetamol na amelala.je kuna shida yoyote na hayo meno kwa kuwa yanacheza kidogo?ushauri nifanyaje kwani niko mbali na je itamletea shida yoyote hapo baadae?