mtoto kampa mwenzake mimba nihalali mama yake mtoto wa kiume kukamatwa?

kigogo1ivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
539
Reaction score
340
Ndugu wana sheria naomba ufafanuzi juu ya hili. Kuna kijana kampa binti mimba na walipogundulika wakatoroka. Jambo lakushangaza polisi wamekwenda mpaka kwenye familia ya yule mvlana na kumkamata mama yake mzazi kisha kumuweka rokap na leo ni siku ya 4 tangu akamatwe. Pamoja na hilo kijana amejipeleka mwenyewe kituoni lakini wamekataa kumuachia mama yake. Je kuna sheria inayo sema mtoto akimpa mimba mwenzie mzazi akamatwe?

Mama amepelekwa gelezani leo maana tumeshindwa kumzamini kutokana nakiasi cha pesa kilicho tajwa cha sh milion 3 kukosekana na kama itaendelea hivi sijui tunaelekea wapi.
 
Ujinga huuu...mimi mwanangu anapewa mimba na mimi namtafuta mama yake nampachika mimba ..kwishaaaa
 
Makubwa haya
wanasheria tafadhali njooni kwa ufafanuzi.
 
Naitaji kujua nini chakufanya ili nimsaidie huyu mama hana msaada jamani.
 
Kwa Mujibu wa sheria za nchi kijana wa kiume tayari ni mtu mzima (18+) hiyo tu inatosha kuona niukiukwaji wa sheria kwa mzazi kuwajibishwa kwa makosa ya mtoto wake labda kama mama alitumika kama mdhamini wa kijana nalo linataratibu zake pia mkuu .
 
Criss
Hata huyo binti pia ni "mtu mzima" kwa mujibu wa restrictions za marriage act ya Tanzania. Hapa ndugu yetu kigogo1ivi atuhabarishe zaidi mazingira ya tukio ikiwamo status ya binti.
 
Last edited by a moderator:
Criss
Hata huyo binti pia ni "mtu mzima" kwa mujibu wa restrictions za marriage act ya Tanzania. Hapa ndugu yetu kigogo1ivi atuhabarishe zaidi mazingira ya tukio ikiwamo status ya binti.

Yah uko sawa mkuu Ivonya-Ngia ila najaribu kujibu kutokana na maelezo ya mtoa uzi maana thread yake haijajitosheleza kiasi cha kuona kuendelea kumuuliza maswali ya msingi kunaweza kumtoa nje ya mada au hata kumkatisha tamaa kabisa sasa ili kumsaidia tunatakiwa twende nae kwa mfumo wa maswali dodoso .
 
cijiu kifungu cha sheria yoyote ya nchhii kinachoruhusu mtu kukamatwa kwa kosa la mtu mwingine unlesss walishirikiana. ciku 4 bila kufikishwa mahakamani?

kweli we have a long way to go.
 
Tanzania, mambo mengi yanaenda isivyo, labda kama huyo mama alishuhudia wakati mwanae(kijana) anashughulika mpaka huyo binti akapata ujauzito mama huyo anahusika, Mungu atusaidie mfumo wa kuendeshwa mashtaka ubadilike
 
ni makosa nyie msimdhamini uyo mama mwacheni apelekwe mahakaman ni lazima hata shinda coz uyo mama alichofanyiwa kinaitwa malicius arrest kakamatwa akiwa hana atia na kosa tajwa vile vile akipelekwa mahakamani atashinda kesi kwa kupitia kifungu cha 230 na 293 cha criminal procedure act atakua analindwa pia na kosa ilo kitaalam huitwa prima facie case, embu ngoja nifungue ma file yangu hapa ntakupa mtiririko wa kumtoa uyo mama..kumbuka kila mtu anaesabiwa hajafanya kosa mpaka pale mahakama itakapo amua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…