kigogo1ivi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 539
- 340
Ndugu wana sheria naomba ufafanuzi juu ya hili. Kuna kijana kampa binti mimba na walipogundulika wakatoroka. Jambo lakushangaza polisi wamekwenda mpaka kwenye familia ya yule mvlana na kumkamata mama yake mzazi kisha kumuweka rokap na leo ni siku ya 4 tangu akamatwe. Pamoja na hilo kijana amejipeleka mwenyewe kituoni lakini wamekataa kumuachia mama yake. Je kuna sheria inayo sema mtoto akimpa mimba mwenzie mzazi akamatwe?
Mama amepelekwa gelezani leo maana tumeshindwa kumzamini kutokana nakiasi cha pesa kilicho tajwa cha sh milion 3 kukosekana na kama itaendelea hivi sijui tunaelekea wapi.
Mama amepelekwa gelezani leo maana tumeshindwa kumzamini kutokana nakiasi cha pesa kilicho tajwa cha sh milion 3 kukosekana na kama itaendelea hivi sijui tunaelekea wapi.