AkiliMingi AM
Member
- Jul 5, 2020
- 88
- 60
- Thread starter
- #21
umemaundi kweli nini blazaMkuu siri ya mtungi aijuae kata.. huku mtandaoni tu hatufahamiani kivile..
Mi napingana na wale wasemao wananijua zaidi ya ninavyojijua!..
Kanitag kwasababu ni mwanaforum ambae nipo active kwelikweli na kwenye uzi wake ule wakwanza nilikoment labda kaona tunataka mrejesho.. ila dah! Hii cv ya kutagiwa namna hii sijapenda..[emoji28]
Kuna mwengine nae alikuwa akinitag nikamvunja kisaikolojia sahivi kaniacha tu!.. huyu nimeona heri lawama kuliko fedhea..[emoji23]